AMANI YA BWANA IWE NANYI
Habari zenu watanzania wenzangu napenda kuwapa habari juu ya mambo yanayojiri hapa kwetu Tanzania kuna mambo hatukuwanayo lakini sasa tunayo kuna mambo hakujua lakini sasa tunajua kuna tabia hakuwa nazo lakini tumeziiga nakinacho sababisha na utandawazi utandawazi umetu tawala hadi tumekuwa kama vichaa tumepoteza asili yetu yautanzania na uafrika kwa ujumla
YAFUATAYO NI MAMBO TULIYO YAIGA YAKUTUPOTEZA
1;Mitandao ya kijamii ndiyo imetuletea mambo yote mabaya
A; ushoga
B;umalaya
C;madada zetu kujiuza
D; wizi
E;ubaguzi
F; mmomonyoko wa maadili nk
Hayo mambo yanatupelejka kubaya maana watu tumesahau dini dunia inatupeleka itakavyo tunaenda kinyume na Amri za MUNGU na amri za kanisa
Tulioshika Dini tuna hubiri kutoa na tumesahau kuhubiri toba watu wakatubu dhambi na kumludia muumba wetu tuna hubiri sadaka kila siku michango isiyokuwa na manufaa kwa jamaa zetu wasiojiweza na tunajishibisha matumbo yetu kama tuna mimba ya miezi tisa eti tunaviita na vitambi tunaona sifa kumbe tuna potea tunaenda kubaya tubadilike jamaani
MUNGU ANATUPENDA WOTE ANA UBAGUZI TUMRUDIE BWANA
AMANI YA BWANA IWE NAWE MSOMAJI UBARIKIWE
Maoni