TUMSIFU YESU KRISTO

Wapendwa katika Bwana napenda kuwakumbusha anti kumi za Mungu
1:NDIMI BWANA MUNGU WAKO USIABUDU MIUUNGU WENGINE

2;USILITAJE BURE JINA BWANA MUNGU WAKO
3;SHIKA KITAKATIFU SIKU YA MUNGU
4;WAESHIMU BABA NA MIAKA MINGI NA HERI DUNIANI
5;USIUE
6;USIZINI
7;USIIBE
8;USISEME UONGO
9;USIMANI MKE WA MWEZIO
10;USTAMANI MALI YA MWENZIO

JE; Kati ya hizi amri ipi ningumu kuitimiza na kuitekeleza?? ....................

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU