MITANDAO INATUPELEKA WAPI??

 

                 AMANI YA BWANA IWE NANYI

 Habari zenu watanzania wenzangu napenda kuwapa habari juu ya mambo yanayojiri hapa kwetu  Tanzania  kuna mambo hatukuwanayo lakini sasa tunayo kuna mambo hakujua lakini sasa tunajua kuna tabia hakuwa nazo lakini tumeziiga nakinacho sababisha na utandawazi utandawazi umetu tawala hadi tumekuwa kama vichaa  tumepoteza asili yetu yautanzania na uafrika kwa ujumla  

  YAFUATAYO NI MAMBO TULIYO YAIGA  YAKUTUPOTEZA

1;Mitandao ya kijamii  ndiyo imetuletea mambo yote mabaya 

A; ushoga

B;umalaya

C;madada zetu kujiuza

D; wizi 

E;ubaguzi

F; mmomonyoko wa maadili nk

 Hayo mambo yanatupelejka kubaya maana watu tumesahau dini dunia inatupeleka itakavyo tunaenda kinyume na Amri za MUNGU na amri za kanisa 

 Tulioshika Dini tuna hubiri kutoa  na  tumesahau kuhubiri toba watu wakatubu dhambi na kumludia muumba wetu  tuna hubiri sadaka kila siku michango isiyokuwa na  manufaa  kwa jamaa zetu wasiojiweza na tunajishibisha matumbo yetu kama tuna mimba ya miezi tisa eti tunaviita na vitambi tunaona sifa kumbe tuna potea tunaenda kubaya  tubadilike jamaani 




MUNGU ANATUPENDA WOTE ANA UBAGUZI TUMRUDIE BWANA
AMANI YA BWANA IWE NAWE MSOMAJI UBARIKIWE

Maoni

Unknown alisema…
Yatupasa kumuomba Mungu sana, maan dunia hii imechafuka
Mteule G Kahangile alisema…
Tuzidi kumuomba Mungu tutashinda

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU