Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ndege itakayowapeleka Yanga jijini Mbeya kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara. Awali Yanga walitakiwa kuondoka saa leo saa moja jioni lakini kutokana na mwaliko maalum wa chakula cha jioni Ikulu, Rais amekubali kuwagharamia safari ambapo sasa watasafiri leo saa 5 usiku. Yanga wamebakisha mechi mbili za kumaliza msimu, ambapo watacheza na Tanzania Prisons na Mbeya City jijini Mbeya.
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ndege itakayowapeleka Yanga jijini Mbeya kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Tanzania Bara.
Awali Yanga walitakiwa kuondoka saa leo saa moja jioni lakini kutokana na mwaliko maalum wa chakula cha jioni Ikulu, Rais amekubali kuwagharamia safari ambapo sasa watasafiri leo saa 5 usiku.
Yanga wamebakisha mechi mbili za kumaliza msimu, ambapo watacheza na Tanzania Prisons na Mbeya City jijini Mbeya.
mteulethebest
Maoni