Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Korea Kaskazini yafyatua kombora kupitia anga ya Japan

MTEULE THE BEST Haki miliki ya picha AFP Image caption Korea Kaskazini imefyatua kombora la masafa marefu kupitia anga ya kisiwa cha Hokkaido nchini Japan. Korea Kaskazini imefyatua kombora la masafa marefu kupitia anga ya kisiwa cha Hokkaido nchini Japan. Jeshi la Korea Kusini linasema kuwa kombora hilo limefyatuliwa kutoka maeneo ya karibu na mji mkuu wa Pyongyang. Mwandishi wa BBC mjini Tokyo anasema kuwa kombora hilo lilipita anga za juu zaidi na kwenda mbali zaidi ikilinganishwa na kombora la awali. Jaribio hilo linakuja siku chache tu baada ya baraza la Usalama la Umoja wa mataifa kuidhinisha vikwazo zaidi dhidi ya Korea Kaskazini. Waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa marekani Rex Tillerson ametoa wito kwa China na Urusi kuchukuwa hatua za moja kwa moja dhidi ya Pyongyang, huku waziri mkuu wa Japan Shinzo Abe akitaja jaribio hilo la hivi punde kuwa ni kitendo cha kuudhi. "China huiuzia Korea kaskazini mafuta yake huku Urusi likiwa ndio taifa lililowaajiri r...

Tanzania na Kenya zashuka orodha ya Fifa

MTEULE THE BEST Image caption Taifa Stars ya Tanzania wakipiga jaramba Timu za soka za mataifa ya Kenya na Tanzania zimeshuka kwenye orodha ya kila mwezi ya viwango vya soka duniani inayotolewa na Fifa. Harambee Stars imeshuka nafasi sita hadi nambari 88 duniani, Taifa Stars nao wakashuka nafasi tano hadi nambari 125. Rwanda wamepanda nafasi moja hadi nambari 118, lakini DR Congo wameshuka nafasi 14 hadi nambari 42. Uganda wamepanda nafasi mbili na wanashikilia nafasi ya 71. Burundi wamepanda nafasi tatu hadi nambari 129. Misri wanaongoza Afrika wakiwa katika nafasi ya 30 baada ya kushuka nafasi 5. Somalia na Eritrea wanashika mkia wakiwa nafasi ya 206 kwa pamoja, wakiwa hawana alama zozote. Ushelisheli wanawafuata kutoka nyuma wakiwa nafasi ya 190 baada ya kupanda nafasi 4. Nafasi duniani Taifa Imeshuka au Kuipanda 30 Misri -5 31 Tunisia 3 33 Senegal -2 42 Congo DR -14 44 Nigeria -6 45 Cameroon -10 49 Burkina Faso 52 Ghana -2 54 Côte d'Ivoire 0 56 M...

Wanafunzi 24 wafariki kwenye moto nchini Malaysia

MTEULE THE BEST ambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Twitter   Sambaza habari hii Messenger   Sambaza habari hii Email Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha REUTERS Image caption Wanafunzi 24 wafariki kwenye moto nchini Malaysia Takriban wanafunzi 24 na walimu wamefariki kwenye moto katika shule moja ya kidini kwenye mji mkuu wa Malaysia Kuala Lumpur. Moto huo katika shule ya Tahfiz Darul Quran Ittifaqiyah, ulitokea mapema asubuhi leo Alhamisi. Waathiriwa wanakisiwa kukwama kwennye mabweni yao kwa kuwa madirisha yalikuwa yamefungwa na vyuma. Taiwan kuunda manowari zake kujilinda dhidi ya Uchina "Hi ni moja tu ya majanga mabaya zaidi ya moto katika kipindi cha miaka 20 iliyopita," mkurugenzi wa idara ya moto aliliambia shirika la AFP. Haki miliki ya picha EPA Image caption Wanafunzi 24 wafariki kwenye moto nchini Malaysia Taarifa za awali zilisema kuwa ziliweka idadi ya waliofaniki kuwa 25 lakini polis baadaye walisema kuwa w...

Umoja wa Mataifa wataka machafuko ya Myanmar kusitishwa

MTEULE THE BEST Katibu wa Umoja wa Mataifa amesema kampeni ya kijeshi ni sawa na takasataka ya kikabila dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya. Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limevunja kimya chake kirefu kuhusu mgogoro wa nchini Myanmar na kutoa wito wa kukomesha vurugu, huku Katibu wa Umoja wa Mataifa akisema kampeni ya kijeshi ni sawa na takasataka ya kikabila dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya. Wakati huohuo, shirika la habari la serikali ya Myanmar limesema China imeunga mkono hatua za jeshi la Myanmar dhidi ya wapiganaji wa Rohingya. Kwa mara ya pili, Baraza la Usalama lenye wanachama kumi na tano lilikutana faraghani kujadili mzozo wa Myanmar na wakakubali kwa pamoja kulaani hali hiyo hadharani. Tekeda Alemu, rais wa sasa wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na balozi wa Ethiopia katika Umoja wa Mataifa amesema: "Baraza limeelezea wasiwasi kuhusu ripoti za matumizi ya vurugu kupita kiasi wakati wa operesheni za usalama, na kutaka usitishwaji...

Wanawake waislamu nchini Tunisia waruhusiwa kuolewa na wanaume wasio waislamu

MTEULE THE BEST Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Tangazo hilo linakuja mwezi mmoja baada ya Rais Beji Caid Essebsi, kutoa wito kwa serikali kuondoa marufuku hiyo ya mwaka 1973. Rais wa Tunisia ametanga kuwa wanawake sasa wako huru kuolewa na wanaume wasio waislamu, kwa mujibu wa shirika la habari la AFP Tangazo hilo linakuja mwezi mmoja baada ya Rais Beji Caid Essebsi, kutoa wito kwa serikali kuondoa marufuku hiyo ya mwaka 1973. Hadi sasa mwanamume ambaye si muislamu anayetaka kumuoa mwanamke wa Tunisia, alihitaji kubadili dini na kuwa muislamu na kutoa cheti cha kuonyesha kuwa amefanya hivyo. Klabu yafungwa kwa kucheza muziki wa 'Adhan' Tunisia DJ aliyecheza ''Adhan'' katika klabu kufungwa jela Merkel ataka kufahamu zaidi kuhusu mshambulizi wa Berlin Makundi ya kutetea haki za binadamu nchini Tunisia yamekuwa yakifanya kampeni ya kutaka kuondolewa marufuku hiyo wakisema kuwa inakiuka haki za binad...

Pacha walioshikamana wajiunga na chuo kikuu Tanzania

MTEULE THE BEST Sambaza habari hii Twitter   Mshirikishe mwenzako Image caption Maria na Consolata wakiwa darasani Ni ndoto iliozaa matunda kwa pacha walioshikana Maria na Consalata nchini Tanzania baada ya kuanza masomo yao katika chuo kikuu ili kujifunza kuwa walimu. Kulingana na gazeti la The Citizen, waliwashukuru walimu wao wapya kwa mapokezi mema waliopata mbali na mazingira mazuri ya kusoma waliopata yalioandaliwa na chuo kikuu cha Ruaha Catholic University. Waliwasili katika chuo hicho mbele ya wanafunzi wengine ili kuweza kujiandaa na mazingira yaliyopo. Walianza masomo yao ya Kompyuta siku ya Jumatano .Waliwashukuru Wamishenari wa Consalata kwamba wamefikia kiwango hicho cha maisha yao. Wamishenari hao waliwalea na kuwashawishi kuendelea na masomo. Pacha walioungana wafaulu kidato cha sita Tanzania Pacha walioshikana Tanzania walio na ndoto kuu Wasichana mapacha walioshikana Tanzania Mtawa mmoja katika Chuo hic...