MTEULE THE BEST
Majaji wawili wa Mahakama Kuu nchini Tanzania wameacha kazi, kwa mujibu wa taarifa kutoka ikulu.
Taarifa hiyo inasema majaji Aloysius Kibuuka Mujulizi na Upendo Hillary Msuya wamewasilisha maombi ya kuacha kazi kwa rais, ambayo yamekubaliwa.
Jaji Mujulizi alikuwa pia mwenyekiti wa tume ya kurekebisha sheria Tanzania
Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Saidi Meck Sadiki pia ameacha kazi.
Maoni