Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Argentina inaongoza ubora duniani

Timu ya taifa ya Argentina bado inaongoza orodha ya kila mwezi ya FIFA ya timu bora duniani ambayo imetolewa Ijumaa. Kwenye orodha hiyo timu ya taifa ya Ubelgiji iko kwenye nafasi ya pili ikifwatiwa na Chile.Ujerumani ni ya 5,ikifwatiwa na Uhispania na Brazil inachukua nafasi ya saba. Timu ya bara la Afrika inayochukua nafasi nzuri kwenye orodha hiyo ya FIFA ni Algeria iliopo katika nafasi ya 33 ikifwatiwa na Ivory Coast katika nafasi ya 34. Kwa nchi za Afrika mashariki Uganda 72;Rwanda 87 kenya 116 Burundi 122 na Tanzania inachukua nafasi ya 129 kwenye orodha hiyo ya FIFA . Tanzania tunabuluts mkia africa mashariki nitabu kweli  Ebu wape neno moja TFF  Tuepuke na hii aibu ndugi

MAGUFULI NA SAKATA LA SUKARI

Rais Magufuli ametoa onyo kali kwa wafanyabiashara walioficha sukari ili baadae waiuze kwa bei kubwa. Amesema wafanyabiashara hao wenye tamaa ya pesa walikuwa wakifuata sukari iliyo Expire huko Brazili na kuileta nchini ili watengeneze faida na ndo maana serikali iliwapiga marufuku kuagiza Rais Magufuli ameyasema hayo leo wakati akiwasalimia wananchi wa Katesh, Mkoani Manyara. Rais ametoka Mkoani Dodoma leo, anaelekea Mkoani Arusha kwa usafiri wa gari. Akiongea na mamia ya wananchi hao waliojitokeza kumlaki njiani, Rais Magufuli amewatoa hofu wananchi kuhusu uhaba wa sukari kwa kuwa tayari wako katika mchakato wa kuagiza makontena ya sukari nje ya nchi ili kuwakabili wafanyabiashara walioficha bidhaa hiyo.

makuu

Habari zebu tambua mambo ya mastaw kutoka kwangu MTEULE THE BEST

WABUNGE WA CHADEMA

Wabunge wanawake wa CHADEMA wametoka nje ya ukumbi wa Bunge kufuatia Mbunge wa viti maalumu Sophia Mwakagenda kuomba mwongozo wa Spika wa Bunge kwa kauli aliyotoa jana Mbunge wa jimbo la Ulanga Goodluck Mlinga Kombani (CCM) kusema kuwa wabunge wa Chadema ili wapate ubunge wa viti maalumu lazima wawe na mahusiano ya kimapenzi na viongozi wao .

TAMBUA HAKI ZAKO

IMEANDALIWA NA MAWAKILI. 1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako. 2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama kama anasema ametumwa na mahakama kukumata, ni haki yako. 3. Askari akikukamata akwambie kwanini anakukamata na anakupeleka kituo gani, ni haki yako. 4. Unaruhusiwa na sheria kukataa kukamatwa hata kutumia nguvu kama hukuambiwa sababu ya kukamatwa. 5. Askari anapokiuka taratibu za ukamataji anageuka na kuwa mhalifu ni haki yako kujikinga naye. 6. Askari haruhusiwi kukuvuta shati, kukukaba koo, kukushika suruali kama hujakataa kukri amri halali. 7. Askari haruhusiwi kuondoka na mtu mwingine baada ya kumkosa mtuhumiwa halisi. 8. Askari haruhusiwi kupekua nyumba ya mtu bila kibali cha kupekua. 9. Askari lazima akuoneshe kibali cha kupekua na ukisome. 10. Kibali kieleze jina la aliyekitoa, kituo kilipotolewa,jina la mtu au sehemu ya upekuzi, au uchanganuzi wa mtu au sehemu. 11. Hairuhusiwi kupekuliwa usiku kuanzia...

MUNGU NI MWEMA

Habari yako NDUGU msomaji na mfatiriaji  wa hii blogger napenda kukuambia mambo matatu muhimu maishani itakusaidia sana 1:Mungu ni mwema  Mungu ni msaada wapekee maishani mwetu Mungu anatulinda kila siku anatupenda sana  tuache dhambi tumrudie muumba wetu anatuitaji 2.Mungu alituumba kwa lengo gani aswa Mungu alituumba ilitumtumikie akituumba ili tumuabudu alituumba ili tufa ye mambo mazuri hapa duniani name  malipo yote mbinguni  3.TUFANYE NINI TUUPATE KIPATA MBINGU TUFANYE HAYA A.TUUACHE KUTENDA MAOVU Tuzingatie nakuzitimiza amri za Mungu na amri za kanisa  Tuzidi kumuomba Mungu Mungu anatupenda Ukimaliza kusoma comment Amina share na marafiki

Jedwali la msimamo wa ligi ya EPL baada ya mechi za jana

Nambari Klabu Mechi Mabao Alama 1 Leicester 34 26 73 2 Tottenham 33 35 65 3 Man City 33 28 60 4 Arsenal 33 22 60 5 Man Utd 33 10 56 6 West Ham 33 12 53 7 Southampton 34 10 51 8 Liverpool 32 9 51 9 Stoke 33 -6 47 10 Chelsea 33 4 44 11 Everton 33 9 41 12 Watford 33 -5 41 13 Bournemouth 34 -16 41 14 West Brom 33 -9 40 15 Swansea 34 -11 40 16 Crystal Palace 34 -7 39 17 Norwich 34 -25 31 18 Sunderland 33 -18 30 19 Newcastle 33 -26 28 20 Aston Villa 34 -42 16