Argentina inaongoza ubora duniani

Timu ya taifa ya Argentina bado inaongoza orodha

ya kila mwezi ya FIFA ya timu bora duniani
ambayo imetolewa Ijumaa.
Kwenye orodha hiyo timu ya taifa ya Ubelgiji iko
kwenye nafasi ya pili ikifwatiwa na Chile.Ujerumani
ni ya 5,ikifwatiwa na Uhispania na Brazil inachukua
nafasi ya saba.
Timu ya bara la Afrika inayochukua nafasi nzuri
kwenye orodha hiyo ya FIFA ni Algeria iliopo katika
nafasi ya 33 ikifwatiwa na Ivory Coast katika nafasi
ya 34.
Kwa nchi za Afrika mashariki Uganda 72;Rwanda
87 kenya 116 Burundi 122 na Tanzania inachukua
nafasi ya 129 kwenye orodha hiyo ya FIFA
.

Tanzania tunabuluts mkia africa mashariki nitabu kweli 
Ebu wape neno moja TFF 
Tuepuke na hii aibu ndugi

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU