Wabunge wanawake wa CHADEMA
wametoka nje ya ukumbi wa Bunge kufuatia
Mbunge wa viti maalumu Sophia Mwakagenda
kuomba mwongozo wa Spika wa Bunge kwa kauli
aliyotoa jana Mbunge wa jimbo la Ulanga Goodluck
Mlinga Kombani (CCM) kusema kuwa wabunge wa
Chadema ili wapate ubunge wa viti maalumu
lazima wawe na mahusiano ya kimapenzi na
Maoni