Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

CCM

MTEULE THE BEST MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI TAIFA DK J K MRISHO  ANAWATAKIA RAMADHANI NJEMA

Mikutano na maandamano ni marufuku Tanzania

MTEULE THE BEST Polisi nchini Tanzania wamepiga marufuku maandamano na mikutano ya hadhara kuanzia Jumanne wiki hii hadi hali ya usalama itakapotulia Katika taarifa iliotumwa katika vyombo vya habari walinda usalama hao wamewataka wanasiasa kuacha mara moja kuwashinikiza wananchi kutotii sheria za nchi. Taarifa hiyo imesema kuwa polisi hawatasita kumchukulia hatua kali za kisheria mtu yeyote au chama chochote cha siasa kitakachokaidi agizo hilo. Aidha maafisa hao wamewataka wananchi kuwa makini na wanasiasa wenye lengo la kutaka kuvuruga amani ya nchi na badala yake kuwasihi waendelee kushirikiana katika kujenga Umoja wa taifa la Tanzania. Polisi nchini Tanzania imeripoti kupokea taarifa kutoka kwa baadhi ya vyama vya kisiasa vikitaka kufanya mikutano na maandamano . Hata hivyo, maafisa hao kupitia vyanzo vyao mbalimbali vya habari wamebaini kuwa mikutano hiyo ina lengo la kuwahamasisha wananchi kutotii sheria za nchi  mikakati ya chadema ya mikitano nch...

SADAKA YA SIKUKUU YA MWAKA MPYA

MTEULE THE BEST   SADAKA YA SIKUKUU YA MWAKA MPYA KWA JINA LA BABA NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU......... AMINA HESABU 29:1-6 Siku ya kwanza ya mwezi wa saba mtafanya mkutano mtakatifu. Msifanye kazi. HIYO NISIKU YA KUPIGA TARUMBETA Mtatoasadaka ya kutetekezwa,harufu nzuri ya kumpendeza MWENYEZI  MUNGU : Fahali ya wachanga wawili , kondoo dume wawili na wanakondoo saba wa kiume wa mwaka mmoja wote wawe wasio na dosari yeyote mtatoa pia sadaka yake ya nafaka ya unga safi uliochanganywa na mafuta kilo tatu kwa kila fahali na kilo mbili kwa kondoo dume na kilo moja kwa kila mwanakondoo  TENA MTATOA SBEBERU MMOJA KUWA SADAKA YA KUONDOA DHAMBI ili kuwafanyia upatanisho mtatoa vitu hivi licha ya ile sadaka ya kutetekezwa ya mwexi mpya na sadaka yake yafanaka yanasadaka zake za kinywaji kama inavyo takiwa kuwa harufu nzuri ipendezayo ni sadaka kwa MWENYEZI MUNGU iliyo tetekezwa kwa moto NENO LA BWANA  NAOMBA IFAHAMIKE KWAMBA MTU YEYOTE ANAWEZA KUCHA...

Hekalu la Mourinho hapo Manchester lazima ukae

  Soka Hekalu la Mourinho hapo Manchester lazima ukae   Taarifa za ndani zimefichua kwamba Mourinho amekuwa akitafuta nyumba ya kifahari kwa wiki sita sasa na yeye pamoja na watu wake walikwenda kutazama jumba hilo la Steppingstones mara mbili tofauti. MTEULE THE BEST mwanzo Soka Soka Hekalu la Mourinho hapo Manchester lazima ukae Share   Taarifa za ndani zimefichua kwamba Mourinho amekuwa akitafuta nyumba ya kifahari kwa wiki sita sasa na yeye pamoja na watu wake wa...

Nyota wa Leicester City Jamie Vardy amesalia kimya kuhusu uwezekano wake wa kuhamia klabu ya Arsenal.

MTEULE THE BEST Nyota wa Leicester City Jamie Vardy amesalia kimya kuhusu uwezekano wake wa kuhamia klabu ya Arsenal. Mshambuliaji huyo wa England mwenye umri wa miaka 29 alipangiwa kuamua iwapo atasalia na Leicester au atajiunga na Gunners kabla yake kusafiri kuelekea Ufaranca kushiriki michuano ya Euro 2016 itakayong’oa nanga Ufaranza Jumatatu. Lakini ameabiri ndege pamoja na wenzake wa timu ya taifa ya England bila kufahamisha Arsenal uamuzi wake. Vardy bado anatarajiwa kufanya uamuzi kuhusu ofa ya Arsenal ya kumuahidi ujira wa £120,000 kila wiki baadaye leo Jumatatu. Vardy mchezaji bora wa mwaka Uingereza Arsenal wanadaiwa kuahidi kulipa £20m kumnunua Vardy, bei ambayo itamuweka huru kutoka kwa mkataba wake na Leicester. Nyota huyo wa zamani wa Fleetwood Town alitia saini mkataba wa miaka mitatu wa kulipwa hadi £80,000 kila wiki Leicester Februari. Vardy alijiunga na Leicester akitokea Fleetwood kwa £1m mwaka 2012. Aliwafungia mabao 24 na kuwasaidia kut...

kimbembe hapa cha morinho

MTEULE THE BEST saa3 Jose Felix Morinho will sell those players with no condition..... 1.Serigio Romero 2.Marcos Rojo 3.Antonio Valencia 4.Luke Shaw 5.Bastian Shwansteiger 6.Ander Hererra 7.Ashrey Young 8.Memphis Depay 9.Girermo Varerra 10.Marouan Ferraini 11.Phill Jones 12.Mathew Darmian 13.Shineiderlin just imagine morinho to sell those guyz... are u with that Coach???

Rais wa Somalia azuru kambi ya wakimbizi Daadab

RAIS WA SOMALIA AZURU KAMBI YA WAKIMBIZI DAADAB Mashariki mwa Kenya. Daadab ni miongoni mwa kambi za wakimbizi ambazo zina idadi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani. Kenya: Wakimbizi Daadab kurejeshwa kwao Novemba Wakimbizi wa Somalia warejeshwa kwao Tahadhari Kenya wakati wa Ramadhani Image caption Somalia Hassan Sheikh Mohamoud alilakiwa na waziri wa usalama wa ndani wa Kenya bwana Joseph Nkaisserry Alipowasili Daadab rais wa Somalia Hassan Sheikh Mohamoud alilakiwa na waziri wa usalama wa ndani wa Kenya bwana Joseph Nkaisserry waziri wa maswala ya nje wa Somalia na Balozi wa Somalia nchini Kenya miongoni mwa viongozi wengine. Mwandishi wa BBC Bashkash Jugsoday aliyeko Garissa nchini Kenya ana...