Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Viongozi EU waidhinisha mazungumzo ya maandalizi Brexit

MTEULE THE BEST Viongozi wakuu wa Umoja wa Ulaya wamekubaliana kuanza mazungumzo ya maandalizi kuhusu uhusiano wa kanda hiyo na Uingereza baada ya Brexit, licha ya kusisitiza kwamba hakuna hatua muhimu zilizopigwa katika mazungumzo. Rais wa Baraza la Ulaya Donald Tusk alisema katika ujumbe wa Twita kuwa viongozi 27 wa kanda hiyo waliokutana mjini Brussels walikubaliana kuanzisha maadalizi ya mazungumzo ya biashara, baada ya kansela wa Ujerumani Angela Merkel kusema hapo awali kwamba licha ya ucheleweshaji katika mazungumzo, kuna matumaini ya kufanikisha makubaliano ya mwisho. Taarifa ya maandishi ilioidhinishwa na viongozi hao ilisema Umoja wa Ulaya utachelewesha uamuzi juu ya kuanzisha hatua nyingine ya mazungumzo hadi mkutano ujao wa kilele mwezi Desemba, lakini walikubaliana kuanzisha majadiliano ya ndani ya maandalizi kuhusu biashara na uwezekano wa makubaliano ya mpito. Kasi ndogo ya mazungumzo, hasa kuhusu wajibu wa kifedha wa Uingereza, ilichochea hofu kwamba nchi...

Shinikizo laongezeka kwa viongozi wa jimbo la Catalonia

MTEULE THE BEST Serikali ya Uhispania inajiandaa kutwaa mamlaka ya ndani ya utawala wa jimbo la Catalonia. Serikali hiyo kuu imepata uungwaji mkono kutoka kwa upinzani wa kulivunja bunge la Catalonia na pia kuandaa uchaguzi mpya. Vyama vya kisiasa nchini Uhispania vinashinikiza kufanyike uchaguzi kwa sababu vinapendekeza kuwa hiyo ndio njia pekee ya kuinusuru nchi hiyo kutoka kwenye mgogoro mbaya zaidi kuwahi kutokea nchini Uhispania katika kipindi cha miongo mingi. Chama cha upinzani cha Kisoshalisti kimesema kinaunga mkono hatua zozote zitakazochukuliwa na serikali kuu dhidi ya mamlaka ya jimbo la Catalonia ambalo kitisho chake cha kutaka kujitenga kimesababisha mtafaruku katika sarafu ya Euro ambao umeathiri hali ya uchumi wa jimbo hilo la nne kwa utajiri wa katika eneo la Umoja wa Ulaya. Waziri mkuu wa Uhispania Mariano Rajoy amesema utawala wa jimbo la Catalonia umekiuka sheria. Waziri mkuu wa Uhispania Mariano Rajoy Waziri mkuu wa Uhispania Mriano Rajoy aliutaka ...

Hotuba ya Rais Magufuli baada ya Makubalino kati ya Tanzania na Barrick Gold Corporation

MTEULE THE BEST Hotuba ya Rais Magufuli baada ya Makubalino kati ya Tanzania na Barrick Gold Corporation

Busara ya pombe angalia hii video ndo utajua pombe si maji

MTEULE THE BEST

USHAHIDI ULITOLEWA MAHAKAMANI KESI YA LULU YA KUUA BILA KUKUSUDIA

MTEULE THE BEST USHAHIDI ULITOLEWA MAHAKAMANI KESI YA LULU YA KUUA BILA KUKUSUDIA Kesi ya kuua bila kukusudia inayomkabili mwigizaji wa filamu nchini Tanzania, Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu, imeendelea leo Oktoba 19 katika Mahakama Kuu ya Dar es Salaam ambapo upande wa mashtaka umeanza kuwasilisha ushahidi katika kesi hiyo. Kesi hiyo ikiendelea mahakamani, mdogo wa marehemu Kanumba, Seth ambaye alikuwa akiishi na kaka yake na alikuwepo siku ya tukio, alitoa ushahidi kwa namna alivyoweza kushudia tukio zima lililopolekea kifo cha ndugu yake. Akitoa ushahidi, Seth alisema, ā€œSiku ya tukio marehemu Kanumba alinambia nisitoke nyumbani anataka tutoke wote kuanzia saa sita usiku, akaja Lulu na Kanumba ndiye aliyemfungulia mlango Lulu, alipofika ndani nikasikia akimuuliza Lulu kwanini anaongea na boyfriend wake mbele yake? Katika malumbano yao Kanumba alikuwa akimvuta Lulu arudi ndani na Lulu naye alikuwa anataka kutoka nje, wakati wakiendelea kugombana mlango wa chumba ...

Hongera MAGUFULI: Barrick Gold kuilipa Tanzania dola milioni 300 za kimarekani sawa billion 700 za kitanzania

MTEULE THE BEST Barrick Gold kuilipa Tanzania dola milioni 300 za kimarekani Kampuni ya inayomiliki migodi ya madini nchini Tanzania, Barrick Gold imekubali kuilipa Serikali ya Tanzania hisa ya asilimia 16 na mgawo wa asilimia hamsini ya mapato ya mauzo ya dhahabu kutoka migodi 3 inayoimiliki. Hatua hiyo ni utekelezaji wa sheria mpya za madini ya Tanzania baada ya kampuni hiyo kukubali kuwa na mazungumzo na Serikali ya Tanzania . Vilevile kampuni hiyo imekubali kutoa Dola za Kimarekani milioni 300 kama malipo ya kuonesha nia njema ya kufidia fedha zilizotokana na upotevu wa mapato kutokana na biashara ya kampuni hiyo. Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo,Prof. Thornton amesema Barrick Gold Corporation watazingatia makubaliano haya na wanaamini kuwa yamefungua ukurasa muhimu utakaowezesha kufanya biashara kisasa. Kampuni ya dhahabu kujadiliana na Tanzania kuhusu malipo Tanzania yapoteza matrilioni ya pesa za madini Mambo muhimu kuhusu sakata ya madini Tanzania Kwa upande wake...

Austria kumchagua kiongozi mwenye umri mdogo zaidi duniani

MTEULE THE BEST Austria kumchagua kiongozi mwenye umri mdogo zaidi duniani Mkuu wa chama cha kihafidhina nchini Austria cha People's Party, Sebastian Kurz, anaelekea kuwa kiongozi wa taifa mwenye umri mdogo duniani, baada ya ushindi wake katika uchaguzi mkuu hapo jana. Kurz aliye na umri wa miaka 31 amepungukiwa na uwingi , lakini yupo katika nafasi nzuri ya kuunda serikali ya muungano. Kijana aponzwa na Adolf Hitler Austria Haijulikani wazi iwapo atafikiria kuunda serikali ya muungano na chama kinachopinga uhamiaji Freedom Party, kilichoibuka nafasi ya tatu kwa kishindo katika uchaguzi huo. Akihutubia wafuasi wake Bw Kurz alisema: "Ni wakati wa kuleta mabadiliko kati nchi hii. Leo ni siku muhimu kwetu kuibadilisha nchi hii na ninasema asante kwa wale wamewezesha hili". "Nina furaha, nimejitolea kuifanyia kazi Austria." Sebastian Kurz ni nani? Kabla ya uchaguzi Bw. Kurz lihudumu kama waziri mwenye umri mdogo zaidi wa mashauri ya nchi za kigeni barani...