Ruka hadi kwenye maudhui makuu

MANJI NA WENZAKE WATAKIWA KUILIPA BENKI YA NBC ZAIDI YA TSH. BILIONI 33

mteulethebest

Mahakama Kuu jijini Dar kitengo cha Biashara imemuamuru Mfanyabiashara Yusuf Manji na Wenzake kulipa fedha hizo kutokana na mkopo waliochukua katika matukio tofauti


Mahakama Kuu kitengo cha Biashara imemuamuru Mfanyabiashara Yusuf Manji na Wenzake wanne kulipa fedha hizo kwa benki ya NBC kutokana na mkopo waliochukua katika matukio tofauti

Katika kesi namba 54 ya 2018, Manji na Washtakiwa wengine, Farm Equip(Tanzania) Company Limited, Tanperch Limited, Quality Group Limited na Kaniz Manji wanatakiwa kulipa jumla ya Tsh. 15,982,193,605.23

Kwenye kesi namba 56 ya mwaka 2018 ambapo Washtakiwa ni Manji, Tanperch Limited, Quality Group Limited na Kaniz Manji, Mahakama imemuamuru wailipe NBC jumla ya USD 5,468,274.23 kama riba ya marejesho ya Mkopo

Aidha, katika kesi nyingine namba 55 ambapo Washtakiwa ni Quality Corporation Limited, Quality Group Limited, Tenperch Limited, Yusuf Manji and Kaniz Manji Mahakama imeamuru walipe Tsh. 5,359,418,687.31

===================

THE High Court’s Commercial Division has ordered prominent businessman Yusuf Manji and four other defendants to pay over 33bn/- to the National Bank of Commerce (NBC) Limited, being monies outstanding on account of credit facilities extended in different occasions.

In a commercial case No 54 of 2018 decided by Judge Butamo Philip, Manji and defendants Farm Equip (Tanzania) Company Limited, Tanperch Limited, Quality Group Limited and Kaniz Manji are to pay a total of 15,982,193,605.23 on account of overdraft and the import loan facility as at February 28, 2018.

According to court records, in this transaction, the principal borrower was Farm Equip (Tanzania) Company Limited, while other defendants had executed personal guarantees.

In a commercial case No 56 of 2018 decided by the same judge, the court ordered Mr Manji and the defendants therein to pay the Bank a sum of 5,468,274.23 US dollars being payments of an overdrawn amount and accrued interest.

Apart from Manji, other defendants in this case were Tanperch Limited, as principal borrower, Quality Group Limited and Kaniz Manji as guarantors. There was another commercial case No 55 of 2018 determined by Judge Barke Sahel involving 5,359,418,687.31 payments

Defendants in this case were Quality Corporation Limited as principal borrower, while Quality Group Limited, Tenperch Limited, Yusuf Manji and Kaniz Manji were guarantors to the 5,359,418,687.31 being repayment of multi optional loan facilities that stood as at February 28, 2018.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

Urusi: Vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini havitafua dafu

MTEULE THE BEST Image caption Waziri wa maswala ya kigeni nchini Urusi Sergei Lavrov na mwenzeka wa Marekani Rex Tillerson Waziri wa maswala ya kigeni nchini Urusi Segei Lavrov amemwambia waziri wa ulinzi nchini Marekani Rex Tillerson kwamba kuiwekea vikwazo zaidi Korea Kaskazini hakutafua dafu. Taarifa iliochapishwa na wizara ya kigeni nchini Urusi inasema kuwa wawili hao walizungumza kwa njia ya simu na kushutumu majaribio ya makombora ya hivi karibuni yaliotekelezwa na Pyongyang . Lakini inasema kuwa bwana Lavrov alisisitiza kwamba diplomasia ndio njia ya pekee ya kumaliza wasiwasi katika rasi ya Korea, na kutaka hatua zozote dhidi ya taifa hilo kusitishwa akionya huenda zikasababisha madhara yasiojulikana. Waziri wa ulinzi nchini Marekani amesisitiza kuwa bado kuna fursa ya kidiplomasia katika kukabiliana na Korea Kaskazini. Mapema rais Trump alichapisha ujumbe katika akaunti yake ya Twitter akisema mazungumzo sio suluhisho.

*DKT. MAGUFULI, MNANGAGWA WAWEKA HISTORIA MPYA*

Rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli wameweka historia mpya kwa kukubaliana kushirikiana kwenye maeneo makuu matatu yenye tija pande zote. *Kwanza*, *Kuimarisha uchumi* wa nchi hizi mbili kwa kukuza uwekezaji na biashara ambao umeanza kuonesha matunda makubwa. Mathalani, katika eneo la biashara kumeonyesha mafanikio makubwa kila mwaka. Mfano mwaka 2016 biashara kati ya Tanzania na Zimbabwe ilikuwa ni Tsh. Bilioni 18.3. Mwaka 2017 biashara ilikuwa Tsh. Bilioni 21.1. *Pili*; *kushirikiana* vyema kwenye masuala ya *utalii* kwa kutumia wingi wa vivutio vya utalii kama vile mbuga za wanyama, fukwe, maeneo ya kihistoria pamoja na Mlima Kilimanjaro. *Tatu*; Kushirikiana na kuimarisha eneo la *huduma za kijamii* zikiwemo afya, utamaduni, elimu na kukuza lugha ya kiswahili ambapo Tanzania ina Waalimu wa kutosha na hivyo...

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

Kuna faida kubwa kwa wapenzi kuwa marafiki KUTOKANA na mila mbalimbali, baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kwamba mwanamke ni daraja la pili. Daraja la kwanza na lenye kuthaminiwa ni mwanaume. Yaani mwanamke hana kauli kwa mwanaume. Anakuwa kama mtumwa fulani hivi.  Mwanaume akiongea, basi ni maelekezo kama vile rais wa nchi anavyotoa maelekezo kwa watu walio chini yake. Hakuna wa kupinga. Akisema sitaki kitu fulani kifanyike, basi ni mpaka atakapotoa maelekezo mengine. Vinginevyo, maelekezo ya awali yatabaki kusimama kama sheria.  Wapo baadhi ya wanawake wanaofurahia aina hii ya uhusiano kwa sababu ya mazoea. Kwamba wamekuzwa hivyo, mwanaume ni mwanaume. Huu ni mfumo ambao watu wengi wamekuwa wakiuishi. Kuna ambao wanakubaliana nao, wengine hawakubaliani nao.  Watu wengi sana wamekuwa wakiishi katika malumbano katika mahusiano yao kutokana na mfumo huu wa maisha. Mwanamke hataki kuishi kama mtumwa, mume anakomaa kuonesha uanaume wake. Hakuna anayekubali kushuka,...