ā
Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris anaanza safari ya wiki moja ya kidiplomasia barani Afrika mwishoni mwa juma hili kwa nia ya kuweka Washington kama mshirika bora wa mataifa ya bara hilo kuliko Beijing.
Harris atatembelea Ghana, Tanzania na Zambia kuanzia wikendi hii, ili kujadili mazoea ya China katika kanda hiyo pamoja na masuala ya kiuchumi ya ndani.
Maoni