Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

UNATAKA KUJUA NGUVU YAKO YA ZIADA

MTEULE THE BEST Je, Unataka Kupima Nguvu Zako Za Ziada? Mind power? Fanya hivi: Mahitaji: 1: Sauti Iliosawia Ya Kwako 2: Taa au Mshumaa Fuata Yafuatayo Utaweza Kuwasha Na Kuzima Mshumaa Kwa Nguvu Ya Fikra Yako... Maneno Utakayo Taja Nimeyaandika Kiherufi Za Kukaza Na Kuvuta Ziweze Kuachia Nguvu Ya Ndani Yako Jinsi Ya Kufanya: Tafuta Mahali Palipo kimya Kabisa Ukifanya Kwenye Fujo Itachukua Muda Mrefu Kufungua Power Zako.. Hii anaweza Kufanya Mtu Yoyote Hata Ambae Hajawa Deep Na Nguvu Zake Za Ziada... Anza Kwa Meditation Kwa Wale Wanaofanya Meditation Japo Kuwa Sio Lazima.. Tizama Taa Au Mshumaa Wako Kwa Sekunde 20... Hakikisha Unahisi Mahusiano Kati Yako Na Taa Yaani Ujiweke Kuwa Unauwezo Wa Kuendesha Mwanga... Sasa Sema Maneno Haya: "Ic Beh? F? Es i? Oht? T cierr on/? Cyrf, gesc? Adnes hit n? Hand mec l? Gel? Oht sw? C?? Hit b? On!" Jinsi Ya Kutaja: Ic -ick Es -bes T? -et Cierr -cierr Mec - mek Oht -lot Sw? -swar Maana Yake Ni: Nahitaji...

MASHABIKI WA ARSENAL WAANZISHA KAMPENI YA KUMTIMUA ARSENE WENGER

MTEULE THE BEST Mashabiki wa man u wanasema wenger abaki arsenal tuendelee kuwafaidi Halafu shabiki la arsenal nae anasema wenger asitoke pale asajili tuh Kwa mara kwanza kwenye maisha yangu ya soka ndip naona shabiki wa arsenal na manchester wanaungana kwenye kitu kimoja halafu malengo yao ni tofauti. -man u wanasema wenger abaki tupumue -shabiki wa arsenal wanasema wenger abaki bado kocha bora kwetu. MORHNO ANA MSEMO MMOJA KWAMBA "UKIONA MPINZAN WAKO ANAKUPIGIA MAKOFI BASI JIULIZE UMEKOSEA WAPI" HAI MAKE SENSE ET ARSENAL NA MAN U WOTE WANAMSAPOT WENGER MM CJAWAH KUONA. KWA HYO UKIONA UNAKWENDA SAWA NA WAPINZAN JIULIZE ULIPOKOSEA WAP? "MTU ANAEMTETEA WENGER NA MTU ANAETETE NDOA ZA JINSIA MOJA KWANGU MIMI WOTE NI SAWA KBSA" YETU ARSENAL CYO WENGER ARSENAL FC NOT ARSENE FC WENGER OUT WENGER OUT WENGER OUT

KANUMBA: Crazy Love (Full Movie)

MTEULE THE BESTKANUMBA: Crazy Love (Full Movie)  

UNCLE JJ (Kanumba) Full Movie - Bongo Movie

MTEULE THE BEST  UNCLE JJ (Kanumba) Full Movie - Bongo Movie

TEMBELEA TANZANIA UONE MAAJABU YAKE

MTEULE THE BEST  Ndani ya Safari ya Ngorongoro Crater. Jionee video hii hapa  

Hata ungekuwa ni wewe hapa ungezidiwa tu

MTEULE THE BEST  Hata ungekuwa ni wewe hapa ungezidiwa tu. Tazama hadi mwisho uone kilichotoke ni  hatale sana yani nooma sana  

Jah Prayzah Ft. Diamond Platnumz - Watora Mari (Official Video)

MTEULE THE BEST Jah Prayzah Ft. Diamond Platnumz - Watora Mari (Official Video)