Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Italia yagongwa tena na tetemeko la ardhi

MTEULE THE BEST Tetemeko laporomosha majumba Italia Image copyright @MONKSOFNORCIA Image caption Inasemekana kuwa watawa walinusurika kwa kukimbia kutoka ndani ya kanisa hili la mtakatifu Benedict mjini Norcia lililoporomoka Tetemeko lingine baya la ardhi, limegonga maeneo ya katikati mwa Italia, mahali ambapo watu 300 waliuwawa mwezi Agosti mwaka huu. Idara ya Seisomologia nchini Italia inakadiria kuwa tetemeko hilo lilikuwa lenye nguvu ya 6.5 katika vipimo vya Richa, tetemeko baya zaidi tangu lilile lililoitetemesha Italia mwaka 1980, iliyowauwa watu elfu 2,400. Image copyright SABRINA FATAUZZI Image caption Majumba yaliyonusurika tetemeko la Julya sasa yameporomoka Tetemeko la sasa limeporomosha jengo la kale la kanisa la mtakatifu Benedict mjini Norcia, pale wamonaki na watawa walikuwa wamekusanyika. Meya wa mji ulioko karibu wa Ussita- Marco Rinaldi, amesema kuwa alikodolea macho kuzimu, kwani kila kitu kilichomzunguka kiliporomoka akitazama. Image copyright @FRAN...

Rais Magufuli kuzuru Kenya

MTEULE THE BEST Image caption Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli Kwa mara ya kwanza Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli, atazuru taifa jirani la Kenya hapo kesho Jumatatu. Ziara ya Magufuli nchini humo, inatukia wakati ambapo uhusiano wa mataifa hayo mawili umekuwa ukilegea. Kwenye ajenda ya ziara hiyo rasmi ya kiserikali, kati yake na mwenyeji wake Rais Uhuru Kenyatta, ni kuimarisha biashara kati ya mataifa hayo mawili, kwani Rais magufuli amekosa kuhudhuria mikitano mikuu miwili jijini Nairobi, iliyowaleta pamoja marais wengi wa Afrika. Tangu aingie mamlakani mwezi Oktoba mwaka jana, Rais Magufuli ambaye ameamua kukabiliana na ufisadi nchini mwake amezuru tu Rwanda na Uganda. Image caption Marais wa mataifa ya Afrika Mashariki Pia ziara ya Dkt Magufuli inahusia na hatua ya Rais Uhuru Kenyatta kumpendekeza waziri wa mashauri ya nchi za kigeni wa Kenya Amina Mohammed kwa kinyanganyiro cha wadhifa wa mwenyekiti wa muungano wa afrika-AU. Tofauti na Tanzania, kashfa za...

MATOKEO YA DARASA LA SABA 2016 HAYA HAPA

MTEULE THE Serikali  imetangaza  matokeo  ya  mtihani  wa  darasa  la  7 kwa mwaka 2016  ambapo ufaulu  umeongezeka  kwa asilimia 2.52 na shule iliyoongoza kitaifa ni shule ya Msingi Kwema  ya  mkoani Shinyanga Bonyeza hapa >>>> chini http://necta.go.tz/matokeo/2016/psle/psle.htm

Wayne Rooney has been told to leave Manchester United if he wants to play first-team football on a regular basis.

MTEULE THE BEST Wayne Rooney has been told to leave Manchester United if he wants to play first-team football on a regular basis. The Sun  report that Jose Mourinho has told the United skipper’s advisers he cannot be guaranteed a starting spot as the manager attempts to return the Red Devils to their former glory. Rooney, who turned 31 on Monday, started the season as a key part of Mourinho’s plans, following the Portuguese's claim he will play as a striker - not in the midfield position he featured in last term. But having failed to start any of the last four league matches, his Old Trafford career now seems to be winding down, and talkSPORT have looked at eight possible replacements for Rooney. Click the right arrow, above, to see all the players United could call upon when Rooney finally leaves the club…