Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Morata kusajiliwa Chelsea

MTEULE THE BEST Klabu ya Chelsea imefikia makubaliano na mabingwa wa Ligi kuu ya Hispania (La Liga), Real Madrid kuhusiana na uhamisho wa mshambuliaji wa kimataifa wa Hispania, Alvaro Morata. Inaelezwa kuwa uhamisho wa nyota huyo mwenye umri wa miaka 24 umegharimu takribani dola za kimarekani million 78 ambazo ni sawa na pauni milioni 60 za Uingereza. Mapema leo, mchezaji huyo ambaye ni zao halisi la Real Madrid, ameagana na wachezaji wenzake wa Real Madrid akiwemo kocha Zinedine. The Blues waliamua kuhamishia majeshi kwa Morata baada ya chaguo lao la awali Romelu Lukaku kuamua kuungana na Jose Mourinho katika kikosi chake cha Manchester United. United na wenyewe walitajwa kumuhitaji Morata lakini walilazimika kugeukia wa Lukaku baada ya kushindwa kufikia dau lilotajwa kuwa ni dola za kimarekani milioni 97.

TTCL PESA YAZINDULIWA NA MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA

MTEULE THE BEST Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta pazia kuashiria uzinduzi wa huduma ya TTCL Pesa uliofanyika Makamu Makuu ya TTCL barabara ya Samora jijini Dar es Salaam.   Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Ndugu Wazir W. Kindamba akimuonesha namna ya kutumia huduma ya TTCL Pesa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kukamilika kwa uzinduzi wa TTCL Pesa uliofanyika Makamo Makuu ya TTCL barabara ya Samora jijini Dar Es Salaam.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amezindua huduma mpya ya fedha mtandao ijulikanayo kama TTCL PESA ya Kampuni ya Simu Tanzania TTCL. Uzinduzi huo umefanyika katika Makao Makuu ya TTCL barabara ya Samora jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Mheshimiwa Omari Nundu ambaye ni Mwenyeketi wa Bodi ya TTCL, Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujezi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Anjelina Madete, Afisa Mtendaji Mkuu w...

TRA:HATUMTAMBUI NGELEJA

MTEULE THE BEST Waziri wa Nishati na Madini wa zamani Ngeleja ni mmoja kati ya watu waliopokea mgawo wa fedha zinazodaiwa kuwa zao la kashfa ya Tegeta Escrow, lakini akatangaza kuzirejesha kwa TRA Jumatatu iliyopita.  Februari 2014, Ngeleja ambaye kwa sasa ni Mbunge wa Sengerema (CCM) aligaiwa Sh. milioni 40.4 na mfanyabiashara maarufu James Rugemalira ambaye mwanzoni mwa mwezi alifikishwa mahakamani akikabiliwa na mashtaka 12, yakiwamo ya kughushi na utakatishaji fedha.  Hata hivyo, wakati Ngeleja akithibitisha kwa risiti mbele ya waandishi wa habari kuziingiza fedha hizo katika akaunti ya TRA, mamlaka hiyo imesema haizitambui. TRA imesema haina mpango wowote wa kufuatilia fedha hizo kwa sababu shughuli yake ni kukusanya kodi.  Akizungumza na Nipashe mwishoni mwa wiki, Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma wa TRA, Richard Kayombo alisema mamlaka hiyo inahusika na kuhakikisha serikali inakusanya kodi stahiki na siyo urejeshaji wa fedha za kashfa kama Escrow.  Kayombo ...

Man Utd: Zlatan Ibrahimovic anaweza kukaa Old Trafford - Jose Mourinho

MTEULE THE BEST Mkurugenzi wa Manchester United Jose Mourinho amesema Zlatan Ibrahimovic atapewa mpango mpya licha ya kuumia kwa muda mrefu wa magoti. Zlatan Ibrahimovic inaweza kutolewa kwa maneno safi huko Manchester United licha ya kuondoka klabu mwisho wa mkataba wake wa mwaka mmoja, Jose Mourinho amesema. Ibrahimovic alipiga mabao 17 ya Ligi Kuu baada ya kujiunga na Paris Saint-Germain, lakini kuumia kwa magoti makubwa dhidi ya Anderlecht katika robo fainali ya Europa League ilitawala Swede wa zamani wa zamani wa msimu wa msimu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35 aliondoka kwenye orodha ya United ya mwisho wa kampeni baada ya klabu hiyo kurejea kwenye Ligi ya Mabingwa kwa kumpiga Ajax katika mwisho wa Europa League, na Ibrahimovic alielezea kwenye machapisho ya Instagram kwamba angekuwa anataka mpya Klabu. Lakini Mourinho amefungua mlango kwa Ibrahimovic kurudi Old Trafford, ikiwa na wakati anaweza kuthibitisha afya yake. "Inawezekana, ni wazi. Bila shaka t...

Mkuu mpya wa FBI aahidi kufuata sheria bila upendeleo

MTEULE THE BEST k Image caption Trump amekuwa akiandamwa na kashfa ya Urusi kuinglilia uchaguzi uliomuweka madarakani Aliyeteuliwa na Rais Donald Trump kuwa mkurugenzi mpya wa shirika la kijajusi la Marekani la FBI, Christopher Wray, ameahidi kufuata sheria bila kugemea upande wowote. Wakati akihojiwa na wajumbe wa kamati ya senati ya sheria, bwana Wray amesema hafikirii kwamba uchunguzi wa tuhuma ya Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani wa mwaka 2016 kwamba una lengo la kutafutana kisiasa kama inavyodaiwa na Rais Trump. Bwana Wray amesema katu hatoruhusu kazi ya FBI kuendeshwa na kitu chochote kile zaidi ya ukweli na sheria. Uwezo wa Wray wa kusimama bila kuegemea upande wa Rais ulichukua nafasi kubwa ya kamati hiyo. Image caption Christopher Wray alifanya kazi kwenye wizara ya sheria chini ya Rais wa zamani George Bush Mkurugenzi aliyepita wa shirika hilo, James Comey, alifutwa kazi na Trump kutokana na uchunguzi wa Urusi. Christopher Wray alifanya kazi mi...

BRAZIL: Da Silva jera miaka tisa

MTEULETHEBEST Raisi wa zamani wa Brazili, Luiz Ignacio Lula da Silva, amehukumiwa kifungo cha miaka tisa unusu jela miongoni mwa kesi tano za ulaji rushwa zinazomkabili. Lula amechomoza kutoka katika umaskini wa kifamilia enzi za utoto wake na kuwa mmoja wa marais maarufu zaidi wa Brazil. Kiongozi wa zamani wa chama cha muungano alijizolea pongezi kutoka katika jamii ya kimataifa kwa sera zake za kijamii ambazo zilisaidia kupunguza uhaba wa kina wa Brazil. Lakini sasa mambo yamegeuka na kukutwa na hatia ya kukubali hongo ya zaidi ya dola milioni moja za malipo ya ghorofa ya mapumziko kwa ajili ya ukarabati wake kwa kampuni ya ujenzi ya Ki Brazil, iitwayo kwa kifupi OAS. Hukumu hii inakuja wakati ambapo mtawala Lula akiwa ametoa msimamo mkali kwamba ana mpango wa kuingia katika kinyang'anyiro cha kugombea nafasi ya urais mwakani . Kufuatia hukumu hiyo, rais huyo amekana mashtaka yote yanayomkabili kwa kudai kuwa hajafanya makosa yoyote kiasi cha kustahili hukumu hi...

Wachezaji wa Everton watua Dar es Salaam Tanzania tayari kukabili Gor Ma

MTEULE THE BEST Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Twitter   Mshirikishe mwenzako Wachezaji wa klabu ya Everton kutoka England wamewasili jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kwa ziara yao ya kwanza kabisa Afrika Mashariki. Wachezaji hao na wakufunzi pamoja na maafisa wengine wa timu walifika uwanja wa ndege saa mbili asubuhi kutoka Liverpool. Ziara yao ni sehemu ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi ya Premia. Miongoni mwa wachezaji waliosafiri Tanzania ni Wayne Rooney ambaye amerejea katika klabu hiyo bila kulipiwa ada yoyote baada ya kukaa miaka 13 klabu ya Manchester United. Wayne Rooney: Ninasubiri sana kwenda Tanzania Mashabiki wengi wa soka ya England wamesafiri Tanzania kushuhudia Everton wakichuana na mabingwa wa Kenya, Gor Mahia katika uwanja wa taifa wa michezo jijini Dar es Salaam. Uwanja huo una uwezo wa kutoshea mashabiki 60,000. Rooney anatarajiwa kuc...