Usajili MAN UNITED 2016/2017
Machester united wamechukua offer ya kumnasa ZALTAN IBROMAVIC
MANCHESTER wamepeleka hiyo offer ya paund11.8 milion kufanikisha saini ya ibromovic kutua odtraford imezua mjadala mzito katika redio za ufaransa. Endapo itakubaliwa hiyo offer atalipwa. $225000 kwa wiki
Maoni