Daraja refu zaidi duniani

mteulethebest



Daraja refu zaidi duniani linalounganisha Hong Kong-Zhuhai China litafunguliwa rasmi hapo kesho.

Daraja hilo lenye umbali wa kilomita 55km  limegharimu takriban dola bilioni $20 za Marekani.
Ujenzi  ulianza mwaka wa 2009.
Safari ya kawaida kati ya China na Hong Kong ilikuwa inachukua muda wa takriban saa 4.
Daraja hili linapunguza muda huo wa usafiri hadi dakika 30 pekee.
Je nini kinaizuia Afrika isipige hatua ya maendeleo  kama hii?


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU