Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Trump: Muuaji wa Las Vegas ana matatizo ya kiakili

MTEULE THE BEST Haki miliki ya picha REUTERS Image caption Baadhi ya waliohudhuria tamasha hilo wakitoroka kufuatia shambulio la bwana Paddock Rais Donald Trump wa Marekani amemtaja muuaji wa watu 59 huku 527 wakijeruhiwa mjini Las Vegas kuwa mgonjwa aliye na akili punguani. Akizungumza katika ikulu ya Whitehouse , amesema kuwa ataziangazia upya sheria za umiliki wa bunduki katika siku za usoni lakini hakuelezea zaidi. Maafisa wa polisi wanajaribu kubaini kwa nini Stephen Paddock mwenye umri wa miaka 64 aliwafyatulia risasi watu waliokuwa katika tamasha akiwa katika ghorofa ya 32 karibu na hoteli ya Mandalay Bay. Polisi walipata bunduki 23 katika chumba chake pamoja na vilipuzi. Kufikia sasa hakuna sababu mwafaka iliotolewa na wachunguzi hawajapata ishara zozote za shambulio hilo kuhusishwa na ugaidi wa kimataifa. Mshambuliaji aua watu 58 Las Vegas Marekani Polisi watafuta sababu ya mauaji Las Vegas Mauaji Las Vegas: Tunayoyafahamu kufikia sasa Kwa Picha: Mauaji Las Veg...

Viongozi wa Ulaya wakutana kuzungumzia 'mfumo wa dijitali'

MTEULE THE BEST Viongozi wa Ulaya wakutana kuzungumzia 'mfumo wa dijitali' Viongozi wa Umoja wa Ulaya wanakutana mjini Tallinn, Estonia, kuzungumzia "mfumo wa dijitali" licha ya kugubikwa na mjadala uliotokana na mapendekezo ya rais wa Ufaransa kuhusu mustakbali wa Umoja huo. Majadiliano yatakayoanza jioni ya leo (Septemba 29) yanatarajiwa kugubikwa na pendekezo la Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa la jinsi ya kutozwa ushuru makampuni makubwa makubwa ya kidijitali mfano wa Apple au Google, yanayotuhumiwa kutolipa ipasavyo kodi ya mapato. Ufaransa inapendelea kuona makampuni makubwa makubwa mfano wa Google au Apple yakitozwa ushuru unaostahiki badala ya mtindo unaotumika hivi sasa wa kutozwa katika nchi moja tu ya Umoja wa Ulaya, mfano wa Ireland au Luxemburg, kodi ya mapato kwa shughuli za kibiashara walizofanya katika nchi zote za Umoja wa Ulaya. Mada hiyo italeta malumbano katika mkutano huo wa kilele, ingawa haijaorodheshwa katika ajenda ya mazungu...

Ni asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo September 30 2017 kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa

MTEULE THE BEST Ni asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo September 30  2017  kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa

Watu 22 wafariki katika mkanyagano kwenye reli Mumbai

MTEULE THE BEST Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Barabara ya Elphinstone inaunganisha njia mbili za reli Mumbai Watu kumi na wawili wameuawa na wengine zaidi ya 30 kujeruhiwa, kufuatia kisa cha mkanyagano baada ya daraja moja kuporomoka karibu na kituo cha treni, mjini Mumbai India. Waliyoshuhudia wanasema, daraja hilo huenda liliporomoka kutokana mvua kubwa iliyokuwa ikinyesha wakati huo, hali ambayo iliwafanya watu kukimbilia mahala hapo kujikinga. Mwandishi wa BBC mjini Mumbai, anasema mamlaka imekuwa ikilaumiwa kwa kutelekeza miundo mbinu katika mji huo licha ya kuwa mji huo unapokea watu wengi kila siku. Nilibakwa nikiwa na miaka 10, lakini nimejifunza kuwasamehe watu Watu waliojeruhiwa wamefikishwa katika hospitali iliyo karibu na maafisa wakuu wa reli wapo katika eneo la mkasa. Msemaji wa shirika la reli Anil Saxena ameambia waandishi habari kuwa daraja hilo lililofunikwa lilikuwana shughuli nyingi kwasababu idadi kubwa ya wasafiri walio...

Mwanzilishi wa jarida la Playboy aaga dunia

MTEULE THE BEST Haki miliki ya picha REUTERS Image caption Hugh Hefner alifariki kwa amani nyumbani kwake Hugh Hefner, mwanzilishi wa jarida la kimataifa la watu wazima - Playboy, amefariki akiwa na umri wa miaka 91. Playboy Enterprises Inc imesema alifariki kwa amani nyumbani . Hefner alianza kuchapisha jarida hilo jikoni nyumbani mwake mnamo 1953. Likawa jarida linalo uzika zaidi la wanaume duniani. Cooper Hefner, mwanawe amesema "atakumbukwa kwa ukubwa na wengi". Alimtaja babake kama "Mojawapo ya watu wa kwanza kujitosa katika uandishi na aliishi maisha ya aina yake na yenye utofuati," na amemuita mtu anayetetea uhuru wa kuzungumza, haki za kiraia na uhuru wa kijinsia. Playboy kuchapisha tena picha za utupu Msanii taabani kwa kupigwa picha za utupu mlimani Mnamo 2012, akiwa na umri wa 86, alimuoa mke wake wa tatu Crystal Harris - ambaye alikuwa mdogo wake kwa miaka 60. Haki miliki ya picha REUTERS Image caption Mkewe wa wa tatu Crystal Harris an...

Ni asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo September 28 2017 kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa

MTEULE THE BEST Ni asubuhi nyingine tena nakukutanisha na habari kubwa kwenye Magazeti ya Tanzania leo September 28  2017  kuanzia ya Udaku, Michezo na Hardnews kujionea yote makubwa yaliyoandikwa