+hemedy

“Sitaacha kujiremba kwa sababu kujiremba siyo kwa wasichana tu hata wanaume tunatakiwa tujipake vipodozi kama poda na lipshine, zinasaidia kuongeza mvuto na mwonekano nadhifu, mimi ni staa natakiwa niishi kistaa hivyo vipodozi ni kitu cha kawaida" anasema Hemedy PhD.


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU