Serikali ya JPM hakika nimkombozi wa sisi watanzania wa chini namkubali jpm zaidi ya kila kitu hakika amekuja kukikomboa hiki kizazi na kijacho nafurahishwa sana nautendaji kazi wao
NAKIPENDA SANA KIPENGELE CHA KUTUMBUA MAJIPU
KWA MTAZAMO WANGU NA WALE WACHACHE NINA ONGEA NAO NA KUCHAT NAO
RAIS JOHN POMBE MAGUFULI
Nikiongozi bora zaidi kutokea africa mashariki nakati kwa kuonesha nia ya kutekeleza ahadi zake kwa vitendo siyo maneno kutokea africa kati ya viongozi watatu hadi watano kutoka africa mh rais MAGUFULI anachukuka nafasi ya pili kwakujali wananchi wake wafuatao ni kati viongozi bora kutokea africa
1, MWL J K NYERERE -TANZANIA
2,MH; NELSON MANDERA-SOUTH AFRICA
3, RAIS WA ZIMBABWE-MH; MGABE
4; RAIS WA LIBYA -MH GADDAF
5; RIS WA RWANDA - MH KAGAME
6; DR JOHN POMBE MAGUFULI
Hawa viongozi wamfano wakuigwa kutokea afrika japo wengi wametangulia mbele za haki wafuatao
1,MWL J K NYERERE
2,NELSON MANDERA
3, GADDAF
Walikuwa viongozi wakutetea wanaichi wao kufa nakupona
JK NYERERE alipigania uhuru wa tanzania kufa na kupona mpaka akatupatia uhuru na amani tunayoichezea kwa sasa mnamo mwaka 1961 lakini wengi awalioni hilo wanasema maneno mengi yasiyo kuwa na masrai kwa wanainchi wajithamin kuliko kuwathamini wananchi walio wapa nafasi hizo imejitokeza hapa kwetu tanzania kuanzia miaka 1995 -1999 miaka hiyo walifanya kisiasa zaidi na kutualibu kisaiklogia maka 2000 ilizidi sana baada ya mwalimu kufa 1999 watanzania tumekiona cha moto siyo ccm,cuf ,chadema wate wanausika kwa kuwa kandamiza wananchi wao ilipo fika mwaka 2005-2015 wanainchi wachini wamekandamizwa na kuongezeka madufu na wale wachache wakazidi kujiongeze mali
MUNGU IBALIKI TANZANIA MUNGU IBALIKI AFRICA
NELSON MANDERA alifungwa miaka 27 jera kw kutetea haki ya mtu mweusi africa kusin walipokuwa wakikandamizwa
GADDAF aliuwawa na mataifa yaliyotaka kuvuna mafuta libya wakatumia wanasisasa sasa walibya wanajuta kumuua GADDAF
sasa libya iko wapi????
MH P KAGAME Tangu 1994 rwanda ilikuwa iko katika alingumu sana lakini sasautadhani rwanda ikupitia kwenye mauaji ya kimbali mh P KAGAME amejitaidi amethubutu ameijenga rwanda sasa inatuzidi uchumi japo tunaizi rasilimali pongezi kwa P KAGAME
TANZANIA imefikishwa hapa na watu wachache sana hata hawafikii robo ya robo ya watanzania sasa 2015 TANZANIA TUMEPATA KIONGOZI BORA JPM ATATUFIKISHA KUZURI SANA
DR JOHN POMBE MAGUFULI Ameonesha kwadhati kuwa anataka kulikomboa taifa katika wakati mgumu na kulitoa taifa kwa wachache wanainchi wachini amethubu na anaweza kufanya hivyo maana mwanzo tumeuona tangu akiwa waziri TANZANIA TUMEMPATA RAIS BORA
KIONGOZI BORA ZAIDI KUTOKEA AFRICA KATIKa krne21 ni JPM
TUZIDI KUMUOMBEEA UZIMA
MUNGUIBARIKI AFRICA
MUNGU IBARIKI TANZANIA
MUNGU MBARIKI RAIS WETU J P MAGUFULI
Maoni