Stephene Mukabana ambaye ni
kiongozi wa vijana wa chama cha Orange Democratic Movement (ODM),
aliuawa usiku wa jana wakati alienda kumsaidia mtu mmoja aliyekuwa
akiporwa na kundi la watu sita kwa mujibu wa gazeti la Standard nchini
humo.
Pia gazeti la Standard lilimnukuu gavana wa Nairobi Evans Kidero akisema kuwa kundi la wauaji limfuata na kumuua mwanasiasa huyo wa umri wa miaka 42.
Pia gazeti la Standard lilimnukuu gavana wa Nairobi Evans Kidero akisema kuwa kundi la wauaji limfuata na kumuua mwanasiasa huyo wa umri wa miaka 42.
Maoni