Marekani yaikashifu Korea Kaskazini kwa kufanya jaribio la bomu la nyuklia
Pata kiungo
Facebook
X
Pinterest
Barua pepe
Programu Nyingine
-
MTEULE THE BEST Haki miliki ya pichaREUTERSImage captionTrump: matamshi na vitendo vya Korea Kaskazini ni hatari kwa Marekani
Marekani imejiunga na nchi zingine kuikashifu Korea Kaskazini baada ya nchi hiyo kufanya jaribio la bomu la nyuklia.
Korea Kaskazini ilisema kuwa ilifanikiwa kulifanyia majaribio bomu la hydrojeni, ambalo linaweza kuwekwa kwenye kombora la masafa marefu.
"Matamshi ya nchi hiyo na vitendo vyake vinandelea kuwa vyenye hatari kubwa kwa Marekani," Rais Donald Trump aliandika kwenye mtandao wa twitter.
Korea Kaskazini imekaidi vikwazo vya Umoja wa Mataifa na shinikizo za kimataifa za kuitaka iache kuunda silaha za nyuklia zilizoweza kufika nchini Marekani.
Korea Kusini, Japan, China na Urusi ya wamelikashifu vikali jaribio hilo la sita la bomu la nyuklia lililofanyw na Korea kaskazini
Trump amezilaumua China na Korea Kaskazini kuhusu jinsi zinavyoishughulikia Korea Kaskazini.
"Korea Kaskazini imekuwa tisho na uibu kwa China," ambaye ni mshirika wake na ambaye amekuwa na mafanikio kidogo katika kupata suluhu.
"Matamshi ya kufurahisha ya Korea Kusini kwa Korea Kaskazini hayatafaulu," Trump alisema.
Wakati huo huo watu kwenye mji mkuu wa Korea Kaskazini Pyongyang, wanaendelea kufahamu hatua ya nchi yao ya kulifanyia jaribio bomu la nyuklia.
Watu hao walipiwa picha wakisherehekea hatua hiyo.
Haki miliki ya pichaALAMYImage captionWatu hao walipiwa picha wakisherehekea hatua hiyo.Haki miliki ya pichaALAMYImage captionWatu hao walipiwa picha wakisherehekea hatua hiyo.Haki miliki ya pichaAFPImage captionWatu hao walipiwa picha wakisherehekea hatua hiyo.Haki miliki ya pichaAFPImage captionWatu hao walipiwa picha wakisherehekea hatua hiyo.
SHERIA 17 ZA SOKA ======================= Mchezo wa soka ni moja ya michezo maarufu sana duniani na ni biashara kubwa sana katika ulimwengu wa michezo na ukitaka kuamini hili angalia makampuni yaliyowekeza katika kudhamini soka – ni makampuni makubwa makubwa yenye hadhi ya kitaifa na kimataifa. Kwa kuzingatia aina hii ya wadhamini, waendeshaji wa mchezo wa soka, wameweka kanuni na miongozo ya kufuatwa ili kuhakikisha kuwa wale wanaowekeza pesa zao wanaona thamani ya uwekezaji wao. Kwa hiyo soka kama ilivyo katika michezo mingine inazo kanuni na tutajadili kanuni moja baada ya nyingine kama zilivobainishwa katika muongozo wa FIFA unaojulikana kwa jina la Law of the Game. Sheria Namba 1: Dimba ============== NYASI - Dimba la soka litakuwa la nyasi asilia au bandia kulingana na kanuni za masindano na nyasi hizo lazima ziwe za rangi ya kijani. Kwa dimba la nyasi bandia na kama mchezo unaochezwa utakuwa wa kutambuliwa na FIFA, basi nyasi hizo bandia lazima zikidhi viwango maalumu ...
Kuna faida kubwa kwa wapenzi kuwa marafiki KUTOKANA na mila mbalimbali, baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kwamba mwanamke ni daraja la pili. Daraja la kwanza na lenye kuthaminiwa ni mwanaume. Yaani mwanamke hana kauli kwa mwanaume. Anakuwa kama mtumwa fulani hivi. Mwanaume akiongea, basi ni maelekezo kama vile rais wa nchi anavyotoa maelekezo kwa watu walio chini yake. Hakuna wa kupinga. Akisema sitaki kitu fulani kifanyike, basi ni mpaka atakapotoa maelekezo mengine. Vinginevyo, maelekezo ya awali yatabaki kusimama kama sheria. Wapo baadhi ya wanawake wanaofurahia aina hii ya uhusiano kwa sababu ya mazoea. Kwamba wamekuzwa hivyo, mwanaume ni mwanaume. Huu ni mfumo ambao watu wengi wamekuwa wakiuishi. Kuna ambao wanakubaliana nao, wengine hawakubaliani nao. Watu wengi sana wamekuwa wakiishi katika malumbano katika mahusiano yao kutokana na mfumo huu wa maisha. Mwanamke hataki kuishi kama mtumwa, mume anakomaa kuonesha uanaume wake. Hakuna anayekubali kushuka,...
MTEULE THE BEST TUMSIFU YESU KRISTO WAPENDWA KATIKA BWANA!!! MADA YA LEO: KUMTUMAINIA MUNGU SOMO; zaburi 11:1-7 Kwake MWENYEZI-MUNGU nakimbilia usalama; mnawezaje basi kuniambia "ruka kama ndege mpaka mlimani" Maana waovu wanavuta pinde wameweka mishale tayari juu ya uta wawapige mshale watu wema gizani! Kama misingi ikiaribiwa mtu mwadilifu atafanya nini? MWENYEZI-MUNGU yumo hekaluni mwake takatifu ; kiti cha enzi cha MWENYEZI-MUNGU kiko mbinguni Kwa macho yake huwachungulia wanadamu na kujua kila kitu wanachofanya MWENYEZI-MUNGU hupima waadilifu na waovu huwachukia kabisa watu wakatili Atawanyeshea waovu makaa ya moto na madini ya kiberti upepo wa hari ndiyo itakuwa adhabu yao MWENYEZI-MUNGU ni mwadilifu na apenda uadilifu watu wanyoofu watakaa pamoja naye NENO LA BWANA Unaruhusiwa kuchangia funguka tupate maoni yako MUNGU AKUBARIKI
Maoni