Rais wa Marekani Donald Trump afahamisha kuwa atakutana na rais wa Urusi Vladimir Putin katika mkutano wa G-20, mkutano ambao unatarajiwa kufanyika nchini Argentina.
Mkutano wa G-20 utafanyika mwishoni mwa Novemba.
Rais Trump ametoa taarifa hiyo katika mahojiano aliofanya na waandishi wa habari mjiniikulu mjini Washington.
Trump atashiriki pia katika hafla ya maadhimisho ya kusitishwa vita ya mwaka 1918 mjini Paris nchini Ufaransa Novemba 10 n a 11
Maoni