Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

uhaba wa samaki katika Ziwa Tanganyika unatokana na kupuuza mila na desturi?

Je ni kweli uhaba wa samaki katika Ziwa Tanganyika unatokana na kupuuza mila na desturi? Nchini Tanzania uvuvi hunufaisha zaidi ya watu milioni nne, huku wakaazi wa mkoa wa Kigoma magharibi mwa Tanzania wakiutegemea kama shughuli kuu inayoendesha Maisha yao kiuchumi. Hata hivyo shughuli hiyo katika eneo hilo kwa sasa inaenda kombo kutokana na uhaba wa samaki kwenye ziwa Tanganyika huku baadhi ya wavuvi wakiamini kuachwa kwa mila na desturi ni moja ya sababu inayochangia uhaba wa samaki. Jitihada ni kubwa, mavuno madogo, wanawake wamefika ufukweni asubuhi na mapema kuchuuza samaki lakini upatikanaji ni adimu. Miezi kadhaa iliyopita wavuvi walikuwa wakipata zaidi ya ndoo ishirini za samaki, lakini kwa sasa mambo ni tofauti. Wanawake wamefika ufukweni asubuhi na mapema kuchuuza samaki lakini upatikanaji ni adimu. Wavuvi wengine wameamua kuachana na kazi hii na kuingia kwenye kilimo huku baadhi yao wanaona kuzipa kisogo mila na desturi ndio huchangia uhaba wa samaki katika ...

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 1

Tetesi za Soka Ulaya Jumatatu 15 .07.2019: Harry Maguire, Lewis Dunk, Kieran Tierney, Leroy Sane Manchester United inalipa £80m kumsajili Harry Maguire Manchester United imeafikiana na Leicester makubaliano ya thamani ya £80m kumsajili Harry Maguire na kumfanya kuwa mlinzi mwenye thamani kubwa katika historia. United italipa £60m kumsajili mchezaji huyo mwenye miaka 26 - atakayefanyiwa ukaguzi wa kiafya leo Jumatatu - na £20m za ziada katika siku zijazo. (Sun) Leicester inatarajiwa kuijaza nafasi ya Maguire kwa kumsajili mchezaji wa Brighton Lewis Dunk, baada ya kuafikiana kwa mkataba wa thamani ya £45m kwa mchezaji huyo wa miaka 27. (Sun) Celtic imekataa ombi la Arsenal la hivi karibuni linalokisiwa kuwa na thamani ya £25m - ili kumsajili beki wa kushoto mwenye miaka 22 Kieran Tierney. (Sky Sports) Manchester City inaamini Leroy Sane ataisusia Bayern Munich iwapo itawasilisha ombi la kumsajili winger huyo wa Ujerumani mwenye miaka 23. (Daily M...

UBAGUZI WA RANGI TRUMP ASHUTUMIWA

Donald Trump ashutumiwa kwa ubaguzi wa rangi dhidi ya wabunge wa Democratic Rashida Tlaib (kati), akiwa na Alexandria Ocasio-Cortez (kushoto) na Ayanna Pressley (kulia) Rais wa Marekani Donald Trump ameshutumiwa kwa ubaguzi wa rangu baada ya kundika ujumbe kwenye twitter akiwashambulia wabunge wanawake wa chama cha Democratic. Amedai kuwa wanawake hao "wamewasili kutoka mataifa ambayo serikali zake ni majanga matupu", kabla ya kupendekeza "warudi walikotoka". Baada ya hapo alisema kuwa spika Nancy Pelosi "atafurahi sana kuwashughulikia kwa haraka mipango ya safari ya bure". Haya ni wiki moja baada ya Bi Pelosi kukabiliana kwa maneno na "kundi hilo", la wabunge wasio watu weupe wa mrengo wa kushoto wa chama cha Democratic. Kati ya wabunge hao wanne, watatu - Alexandria Ocasio-Cortez, Rashida Tlaib na Ayanna Pressley - walizaliwa na kulelewa Marekani, huku wanne, Ilhan Omar, alihamia Marekani alipokuwa mtoto. Bi Ocasio-Cortez alizal...

TRUMP AVUNZA MKATABA KUMKERA BARACK OBAMA SIRI HADHARANI

Barua mpya iliyovuja yadai Trump amevunja mkataba wa nyukilia 'ili kumkera Obama' Rais Donald Trump ameachana na mkataba wa nyukilia wa Iran ili kumkera Barack Obama, hiyo ni kwa mujibu wa barua ya siri iliyovuja kutoka kwa aliyekuwa balozi wa Uingereza nchini Marekani. Sir Kim Darroch alielezea hatua ya Trump kuvunja mkataba huo kama "ubadhirifu wa kidiplomasia" kwa mujibu wa gazeti la Mail on Sunday. Gazeti hilo linadai kuwa barua hiyo iliandikwa baada ya aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza Borris Johnson kuirai Marekani mwaka 2018 kusalia ndani ya makubaliano hayo. Barua hii mpya inavuja katikakipindi ambacho polisis nchini Uingereza wameonya juu ya uchapishwaji wa barua hizo. Barua ya kwanza kutoka kwa balozi huyo ambayo ilikuwa inakosoa utawala wa Trump ilivuja wiki moja iliyopita na kusababisha majibizano ya hasira baina ya Uingereza na Marekani. Majibizano hayo yamesababisha Sir Kim kujiengua kwenye wadhifa wake licha ya serikali ya ...

URUSI: KUCHUNGUZA ANGA ZA JUU

Urusi yazindua darubini ya kudhibiti joto la anga Chombo cha Spektr-RG kimetengenezwa kwa muundo wa darubini mbili ndani ya chombo kimoja Moja ya safari muhimu zaidi za kisayansi nchini Urusi kuwahi kushuhudiwa katika baada ya utawala wa utawala wa Kisovieti imezinduliwa kutoka eneo la Baikonur. Spektr-RG telescope chenye darubini ya anga za mbali -ni uvumbuzi uliokamilika kwa ushirikiano na Ujerumani ambayo inatarajia kupima nishati ya joto kote angani na kutoa taarifa. Watafiti wanasema taarifa hii itasaidia kupata muundo wa dunia kwa upana zaidi. Matumaini ni kwamba Spektr-RG kitaweza kutoa mtizamo mpya juu ya upana wa anga. Utengenezaji wa chombo hiki ni safari ya miongo kadhaa kwa wanasayansi wa urusi Kinatarajiwa pia kutambua idadi ya mpya ya vyanzo vya nishati , kama vile mashimo makubwa meusi yaliyopo katikati mwa nyota nyingi. Wakati gesi inapoanguka katika mashimo hayo , huwa na joto kali na kumeguka na kugeuka kuwa joto kali. Mionzi yake hatimae husab...

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili

Tetesi za Soka Ulaya Jumapili 14.07.2019: Nyemar, Odoi, Pogba, Coutinho, Maguire, Mane Neymar alijiunga na PSG kutoka Barcelona kwa dau lililovunja rekodi la pauni milioni 200 mwaka 2017 Mchezaji ghali zaidi duniani wa Paris St-Germain, Neymar, amekoleza uvumi kuwa anarudi Barcelona baada ya kuachia video anayoonekana amevaa jezi ya Barca, pamoja na mistari ya biblia yenye mafumbo. (Goal.com) Bayern Munich hawatakata tamaa ya kumsajili mshambuliaji kinda wa Chelsea Callum Hudson-Odoi, 18, huku wakitarajiwa kutangaza dau la pauni milioni 45 wiki hii. (Mail) Liverpool pia wamejiunga kwenye mbio za kinyang'anyiro cha kutaka kumsajili mshambuliaji wa CSKA Moscow Fedor Chalov mwenye thamani ya pauni milioni 20. Arsenal, Manchester City, Tottenham, Chelsea na Manchester United pia wanamnyemelea mchezaji huyo mwenye miaka 21. (Mirror) Barcelona ilimsajili Coutinho kutoka Liverpool kwa pauni milioni 142 Januari 2018 Kiungo wa Barcelona Philippe Coutinho, 27, atakataa ofa ya...

Tetesi za soka Ulaya Jumamosi 13.07.2019

: Pogba, Badiashile, Lukaku, Haller, Koscielny, Dias, De Ligt Manchester United wameongeza dau la £30m juu ya thamani ya kiungo wa Ufaransa Paul Pogba, 26, na sasa wanataka dau la £180m kumuuza mchezaji huyo waliyemnunua kwa dau la £89m in 2016.(Star) Juventus wamesitisha hamu yao ya kutaka kumsajili Pogba, wakitoa fursa kwa Real Madrid kumsaini mchezaji huyo wa Ufaransa. (Mail) Manchester United huenda ikamsajili beki wa Monaco na Ufaransa 19 Benoit Badiashile,ambaye pia anawaniwa na Wolves - iwapo watamkosa beki a leicester na Uingereza Harry Maguire, 26. (L'Equipe, via Express) Inter Milan huenda wakalazimika kulipa takriban £90m ili kuweza kuwa na fursa ya kumsajili mshambuliaji wa Ubelgiji na Man United Romelu Lukaku, 26, msimu huu (Telegraph) Arsenal itataka kulipwa dau la £8.8m ili kumuuza nahodha wake na beki wa Ufaransa Laurent Koscielny, 33 ambaye anataka kuondoka katika klabu hiyo na alikataa kuondoka na wenzake kuelekea Marekani kwa ...