SHERIA YA MUNGU

MTEULE THE BEST

 

TUMSIFU YESU KRISTO WAPEDWA KATIKA BWANA

LEO SOMO LINATOKA ZABURI 19:7-14

 MADA: SHERIA YA MUNGU


Sheria ya MWENYEZI-MUNGU ni kamilifu humpa mtu uhai mpya; masharti ya MWENYEZI-MUNGUni thabiti, huwapa hekima wasio na makuu 

Kanuni za MWENYEZI-MUNGU ni sawa hufurahisha moyo  amri ya MWENYEZI-MUNGUni safi humwelimisha mtu  

kumcha MWENYEZI-MUNGUni jambo jema na la kudumu milele ; maagizo ya MWENYEZI-MUNGUni sawa yote ni ya haki kabisa 

Yatamanika kuliko dhahabu kuliko dhahabu safi kabisa 

Nimatamu kuluko asali kuliko asali safi kabisa

Yanifunza mimi mtumishi wako kuyafuata kwani letea tuzo kubwa 

Lakini nani aonaye makosa yake mwenyewe ? 

Ee MUNGU niepushe  na makosa nisiyojua

Unikinge mimi mtumishi wako na makosa ya makusudi usikubali hayo yanitawale. Hapo nitakuwa mkamilifu wala stakuwa na hatia ya kosa kubwa

Maneno ya kinywa changu na mawazo ya moyo wangu yakubalike mbele yako  Ee MWENYEZI-MUNGUmwamba wangu mkombozi wangu

NENO LA BWANA 

TUMUOMBE MUNGU ATULINDE PASIPO YEYE SISI SI KITU

EE BWANA EE BWANA EE BWANA ULINDE SISI WAJA WAKO AMINA

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU