Wakimbizi 200 wa Boko Haram wafa kwa njaa
MTEULE THE BEST
Watu 200 waliokimbia kutoka kwa
maeneo yaliyovamiwa na wanamgambo wa kiislamu wa Boko Haram nchini
Nigeria, wamefariki kutokana na baa la njaa na ukosefu wa maji.MSF linasema kuwa uhaba huo wa vyakula na maji unatishia maisha ya wakimbizi zaidi wa ndani kwa ndani katika kambi ya wakimbizi ya Bama Kaskazini Mashariki mwa Nigeria.
Kambi hiyo yamkini inawakimbizi takriban elfu 20,000 hivi.
Umoja wa mataifa unakisia kuwa machafuko yaliyosababishwa na wanamgambo wa Boko Haram maeneo ya Kaskazini Mashariki mwa Nigeria yamesababisha watu milioni 2 kutoroka makwao.
Maoni