JWTZ NA AFRICOM WAWEKA MKATABA

KILINGENI

Leo, Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) na Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) wamesainiMakubaliano mapya ya Ununuzi na Huduma Mtambuka (Acquisition and Cross-Servicing Agreement) kwa lengo la kuimarisha upatikanaji wa vifaa na ushirikiano wa kijeshi.
Makubaliano haya yaliyosainiwa na πŸ‡ΊπŸ‡Έ Brigedia Jenerali George Dietrich na πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Meja Jenerali Hawa Issa Kodi yatakuza mafunzo ya pamoja, jitihada za kukabiliana na majanga, na uwezo wa pamoja kukabiliana na vitisho vya kimataifa katika ukanda huu. Ushirikiano wa kiusalama ni nguzo muhimu katika kuhakikisha usalama wa Wamarekani na Watanzania.
………………………….

Today, the Tanzania People’s Defense Force (TPDF) and U.S. AFRICOM signed a new Acquisition and Cross-Servicing Agreement to strengthen logistics support and collaboration.
The signing of this agreement by πŸ‡ΊπŸ‡Έ Brig. Gen. George Dietrich & πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Maj. Gen. Hawa Issa Kodi will boost joint training, disaster response, and overall readiness to confront transnational threats in the region. Security collaboration and partnership is key to keeping Americans and Tanzanians alike safe and secure.
#USinTZ 
@ausafricacommand

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU