Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Machapisho

Man Utd: Zlatan Ibrahimovic anaweza kukaa Old Trafford - Jose Mourinho

MTEULE THE BEST Mkurugenzi wa Manchester United Jose Mourinho amesema Zlatan Ibrahimovic atapewa mpango mpya licha ya kuumia kwa muda mrefu wa magoti. Zlatan Ibrahimovic inaweza kutolewa kwa maneno safi huko Manchester United licha ya kuondoka klabu mwisho wa mkataba wake wa mwaka mmoja, Jose Mourinho amesema. Ibrahimovic alipiga mabao 17 ya Ligi Kuu baada ya kujiunga na Paris Saint-Germain, lakini kuumia kwa magoti makubwa dhidi ya Anderlecht katika robo fainali ya Europa League ilitawala Swede wa zamani wa zamani wa msimu wa msimu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 35 aliondoka kwenye orodha ya United ya mwisho wa kampeni baada ya klabu hiyo kurejea kwenye Ligi ya Mabingwa kwa kumpiga Ajax katika mwisho wa Europa League, na Ibrahimovic alielezea kwenye machapisho ya Instagram kwamba angekuwa anataka mpya Klabu. Lakini Mourinho amefungua mlango kwa Ibrahimovic kurudi Old Trafford, ikiwa na wakati anaweza kuthibitisha afya yake. "Inawezekana, ni wazi. Bila shaka t...

Mkuu mpya wa FBI aahidi kufuata sheria bila upendeleo

MTEULE THE BEST k Image caption Trump amekuwa akiandamwa na kashfa ya Urusi kuinglilia uchaguzi uliomuweka madarakani Aliyeteuliwa na Rais Donald Trump kuwa mkurugenzi mpya wa shirika la kijajusi la Marekani la FBI, Christopher Wray, ameahidi kufuata sheria bila kugemea upande wowote. Wakati akihojiwa na wajumbe wa kamati ya senati ya sheria, bwana Wray amesema hafikirii kwamba uchunguzi wa tuhuma ya Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani wa mwaka 2016 kwamba una lengo la kutafutana kisiasa kama inavyodaiwa na Rais Trump. Bwana Wray amesema katu hatoruhusu kazi ya FBI kuendeshwa na kitu chochote kile zaidi ya ukweli na sheria. Uwezo wa Wray wa kusimama bila kuegemea upande wa Rais ulichukua nafasi kubwa ya kamati hiyo. Image caption Christopher Wray alifanya kazi kwenye wizara ya sheria chini ya Rais wa zamani George Bush Mkurugenzi aliyepita wa shirika hilo, James Comey, alifutwa kazi na Trump kutokana na uchunguzi wa Urusi. Christopher Wray alifanya kazi mi...

BRAZIL: Da Silva jera miaka tisa

MTEULETHEBEST Raisi wa zamani wa Brazili, Luiz Ignacio Lula da Silva, amehukumiwa kifungo cha miaka tisa unusu jela miongoni mwa kesi tano za ulaji rushwa zinazomkabili. Lula amechomoza kutoka katika umaskini wa kifamilia enzi za utoto wake na kuwa mmoja wa marais maarufu zaidi wa Brazil. Kiongozi wa zamani wa chama cha muungano alijizolea pongezi kutoka katika jamii ya kimataifa kwa sera zake za kijamii ambazo zilisaidia kupunguza uhaba wa kina wa Brazil. Lakini sasa mambo yamegeuka na kukutwa na hatia ya kukubali hongo ya zaidi ya dola milioni moja za malipo ya ghorofa ya mapumziko kwa ajili ya ukarabati wake kwa kampuni ya ujenzi ya Ki Brazil, iitwayo kwa kifupi OAS. Hukumu hii inakuja wakati ambapo mtawala Lula akiwa ametoa msimamo mkali kwamba ana mpango wa kuingia katika kinyang'anyiro cha kugombea nafasi ya urais mwakani . Kufuatia hukumu hiyo, rais huyo amekana mashtaka yote yanayomkabili kwa kudai kuwa hajafanya makosa yoyote kiasi cha kustahili hukumu hi...

Wachezaji wa Everton watua Dar es Salaam Tanzania tayari kukabili Gor Ma

MTEULE THE BEST Hivi ni viunganisho vya nje na vitafungua katika dirisha mpya Sambaza habari hii Facebook   Sambaza habari hii Twitter   Mshirikishe mwenzako Wachezaji wa klabu ya Everton kutoka England wamewasili jijini Dar es Salaam nchini Tanzania kwa ziara yao ya kwanza kabisa Afrika Mashariki. Wachezaji hao na wakufunzi pamoja na maafisa wengine wa timu walifika uwanja wa ndege saa mbili asubuhi kutoka Liverpool. Ziara yao ni sehemu ya maandalizi ya msimu ujao wa Ligi ya Premia. Miongoni mwa wachezaji waliosafiri Tanzania ni Wayne Rooney ambaye amerejea katika klabu hiyo bila kulipiwa ada yoyote baada ya kukaa miaka 13 klabu ya Manchester United. Wayne Rooney: Ninasubiri sana kwenda Tanzania Mashabiki wengi wa soka ya England wamesafiri Tanzania kushuhudia Everton wakichuana na mabingwa wa Kenya, Gor Mahia katika uwanja wa taifa wa michezo jijini Dar es Salaam. Uwanja huo una uwezo wa kutoshea mashabiki 60,000. Rooney anatarajiwa kuc...

Trump Junior atetea mkutano na wakili wa Urusi aliyedai kuwa na taarifa kumhusu Hillary Clinton

MTEULE THE BEST Sambaza habari hii Facebook   amhi Mshirikishe  GETTY IMAGES Image caption Trump Jr anasisitiza kuwa wakili huyo hakutoa taarifa muhimu kumhusu Bi Clinton Mtoto wa kiume wa rais wa Marekani Donald Trump amevishambulia vyombo vya habari kufuatia madai ya mkutano na wakili mrusi ambaye alisema kuwa alikuwa na habari za kumchafulia jina Hillary Clinton. Donald Trump Jr amekana kutoa habari za kukanganya kuhusu mkutano huo wa mwaka uliopita. Pia amesema kuwa lilikuwa jambo la kawaida kupata taarifa kuhusu wagombea pinzani. Donald Trump junior alifanya mkutano na wakili wa Urusi Maafisa nchini Marekani wanachunguza madai yanayohusu Urusi kuingilia uchaguzi wa Marekani. Mkwe wa Trump Jared Kushner na aliyekuwa mkuu wa kampeni Paul J Manafort, walikuwa pia katika mkutano huo na Natalia Veselnitskaya. Image caption Jared Kushner hajazungumza kuhusu taarifa ya Donald Trump Jr Trump Jr anasisitiza kuwa wakili huyo hakutoa taarifa m...

ROONEY: NASUBIRIA KWA HAMU SAFARI YA KWENDA TANZANIA

MTEULE THE BEST Nyota wa soka wa England Wayne Rooney, ambaye amekamilisha uhamisho wake kutoka Manchester United na kurejea Everton amesema anasubiri kwa hamu sana kuzuru Tanzania. "Naisubiri sana kwa hamu na ghamu (safari ya kwenda Tanzania) - inafaa kuwa safari nzuri," aliambia runinga ya evertontv. "Itakuwa nzuri sana na natumai kwamba nitaweza kuingia uwanjani na kucheza. "Huwa vizuri sana unaposafiri na timu. Ni vizuri kuwa hotelini na wachezaji, kujumuika nao na kuwafahamu zaidi. "Sijawahi kwenda Tanzania, na kwa hivyo nasubiri sana kwenda huko." Rooney atakuwa kwenye kikosi cha Everton kitakachocheza mechi ya kujiandaa kwa msimu ujao katika taifa hilo la Afrika Mashariki. Klabu ya Everton kucheza nchini Tanzania Amesema ziara hiyo itampa fursa mwafaka ya kufahamiana na wachezaji wenzake wapya. says Everton's pre-season trip to Tanzania provides the perfect opportunity for him to get to know his new teammates. Rooney, anayeongoza kw...

Tshs milioni 40.4 za kashfa ya Escrow zarejeshwa Tanzania

MTEULE THE BEST YAH: KURUDISHA FEDHA (TZS MILIONI 40.4) NILIZOPEWA NA NDUGU JAMES RUGEMALIRA WA KAMPUNI YA VIP ENGINEERING AND MARKETING LTD. 1. Kama inavyokumbukwa, kutokana na ukweli kwamba ilisharipotiwa sana kwenye vyombo vya habari, kwamba tarehe 12/02/2014 nilipokea fedha kiasi cha shilingi milioni 40.4 za kitanzania kutoka kwa Ndugu James Rugemalira, mmiliki wa kampuni ya VIP Engineering and Marketing Ltd. Fedha hizo nilizipokea kupitia akaunti yangu namba 00110102352601 ya Benki ya Mkombozi. 2. Fedha hizo nilizipokea, kwa nia njema, kama msaada/mchango kutoka kwa ndugu Rugemalira ili zinisaidie katika kutimiza majukumu yangu ya kibunge, hususan,kusaidiana na wananchi wa jimbo langu la Sengerema na Taifa kwa ujumla, kutekeleza shughuli za kijamii (mfano ujenzi wa makanisa, misikiti, kusaidia kulipia karo za wanafunzi wasiojiweza, n.k) na shughuli za miradi ya maendeleo ambayo haipo kwenye bajeti ya serikali. 3. Nilipokea Fedha hizo kutoka kwa ndugu Rugemalira bila kuju...