Droo kamili raundi ya nne: FA ENGLAND

Manchester United walilaza Yeovil katika Kombe la FA mwaka 2014-15


Manchester United wapewa Yeovil Town FA

Klabu ya Yeovil Town inayocheza ligi ya daraja la tatu, ambayo ndiyo klabu ya ngazi ya chini zaidi iliyosalia katika Kombe la FA msimu huu, imepangwa kukutana na mabingwa mara 12 wa kombe hilo Manchester United.

Klabu ya Yeovil Town inayocheza ligi ya daraja la tatu, ambayo ndiyo klabu ya ngazi ya chini zaidi iliyosalia katika Kombe la FA msimu huu, imepangwa kukutana na mabingwa mara 12 wa kombe hilo Manchester United raundi ya nne.


Tottenham pia watakutana na klabu ya League Two, Newport County.


Viongozi wa Ligi ya Premia Manchester City wamepangwa kukutana na mshindi kati ya Cardiff City na Mansfield.


Nottingham Forest, ambao waliwaondoa mabingwa watetezi Arsenal Jumapili watakutana na wenzao wa ligi ya Championship Hull City.


Mechi za raundi ya nne zitachezwa wikendi ya 26-29 Januari.


Yeovil wanashikilia nafasi ya 21 katika League Two


Droo kamili raundi ya nne:


Liverpool v West Brom


Peterborough v Fleetwood/Leicester


Huddersfield v Birmingham


Notts County v Wolves/Swansea


Yeovil v Manchester United


Carlisle/Sheffield Wednesday v Stevenage/Reading


Cardiff/Mansfield v Manchester City


MK Dons v Coventry


Millwall v Rochdale


Southampton v Watford


Middlesbrough v Brighton/Crystal Palace


Bournemouth/Wigan v Shrewsbury/West Ham


Hull v Nottingham Forest


Newport County v Tottenham


Norwich/Chelsea v Newcastle


Sheffield United v Preston


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU