MTEULE THE BEST
Mwanzilishi wa Amazon Jeff Bezos amempiku Bill Gates kama mtu tajiri zaidi duniani akiwa na utajiri wenye thamani ya dola bilioni 90.6.
Ongezeko la hisa za Amazon siku ya Alhamisi linamaanisha kwamba thamani ya bwana Bezos imeishinda ile ya mwanzilishi wa Microsoft Bill Gates kulingana na jarida la Forbes.
Bwana Bezos anamiliki mara tano ya hisa hizo ambazo thamani yake imepita dola bilioni 500.
Katika miaka ya hivi karibuni, aliangazia biashara yake ya roketi ya angani ya Blue Origin na gazeti la Washiington Post, ambalo anamiliki.
Vifaa vya kiteknolojia vimeongeza ukuwaji wa thamani za biashara kama vile Bezos na Mwanzilishi wa fecebook Mark Zuckerberg.
Hivi hapa vitu vitano kuhusu bwana Beezos ambavyo ungefaa kuvijua:
-Matumizi yake yanaongezeka.
-mapema mwaka huu bwana Bezos alilipa dola milioni 23 kununua eneo la kumbukumbu la kiwanda cha ngu cha zamani mjini washington DC.
Kitakapobadilishwa na kuwa nyumba ya familia, Familia hiyo ya Bezos itakuwa majirani wa Obama pamoja na Ivanka Trump na Mumewe Jared Kushner.
Hivyo ndio vitu ambavyo The washington Post liliripoti, Bwana Bezos alinnunua gazeti hilo 2013 kwa dola milioni 250 fedha zake taslimu.
Maoni