Ubelgiji ilifahamu kuhusu mayai yaliyoharibika

MTEULE THE BEST

Mayai yaliyo na sumu ya kuuwa wadudu yakiharibiwa shambani nchini UholanziHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMayai yaliyo na sumu ya kuuwa wadudu yakiharibiwa shambani nchini Uholanzi
Maafisa wakuu nchini Ubelgiji wamekiri kuwa, mnamo mwezi Juni, walifahamu mayai kutoka Uholanzi, huenda ilikuwa imeingiwa na kuharibiwa na dawa ya kuuwa wadudu.
MAYAI YENYE SUMU YA INGIA UJERUMANI
Msemaji wa mamlaka kuu ya usalama wa chakula nchini Ubelgiji Katrien Stragier, anasema kuwa walihifadhi siri, ufahamu wao kuwa, mayao hayo yalikuwa na uwezekano wa kuingiliwa na dawa aina ya Fipronil -- kwa sababu ya uchunguzi kuhusu udanganyifu.
Maduka makubwa ya jumla nchini Ubelgiji, Uholanzi na Ujerumani, yameondoa kabisa madukani uuzaji wa mayai hayo.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU