Obama atangaza hali ya hatari Florida kutokana na kimbunga Hurricane Matthew

MTEULE THE BEST

Obama ameviagiza vikosi vya uokoaji kuwa tiyari wakati wowote
Image captionObama ameviagiza vikosi vya uokoaji kuwa tiyari wakati wowote
Rais wa Marekani Barrack Obama ametangaza hali ya hatari katika mji wa Florida baada ya picha za Satellite kuonyesha kimbunga Hurricane Matthew kinaelekea eneo hilo.
Vikosi vya uokoaji navyo vimejiandaa kutoa msaada pale inapobidi.
Kwasasa kimbunga Matthew kimesababisha kasi ya upepo kwenda kwa kilomita 220 kwa saa moja.
Kimbunga Hurricane Matthew
Image captionKimbunga Hurricane Matthew
Mamilioni ya watu katika majimbo manne nchini Marekani wamenza kuhama makazi yao hususani aeneo ya mwambao wa pwani ili kuepuka kukumbwa naathari za moja kwa moja za kimbunga hicho.

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU