Ruka hadi kwenye maudhui makuu

Je unaweza kununua nini kwa thamani ya Neymar ?

MTEULE THE BEST


Iwapo ungekuwa na €222m, ungemnunua Neymar , na ndege kadhaa za kijeshi ama hata kulipa deni la nchi nzima.
Ndege hii ya kibinafsi inagharimu robo ya thamani ya Neymar
Ndege hii ya kibinafsi inagharimu robo ya thamani ya Neymar

Nyota wa barcelona Neymar anataka kuiihama klabu yake ili kuelekea katika klabu ya PSG iliopo nchini Ufaransa ,lakini hatua hiyo inatarajiwa kuigharimu PSG rekodi ya uhamisho ya
Kwa bei, Neymar mmoja pekee ana thamani ya £198m, ama $262m, ambayo inaweza kununua.

Ndege moja ama tatu

Ndege hii ya kibinafsi inagharimu robo ya thamani ya Neymar
Ndege hii ya kibinafsi inagharimu robo ya thamani ya Neymar
Neymar mmoja anaweza kununua ndege tatu aina ya Boeing 737-700 za abiria ambazo zitagharimu $82.4m each.
Iwapo unataka kuimarisha ndege ya aina ya snazzier 737-800 - ambayo inatumika sana na kampuni ya ndege za abiria ya Ryanair's barani Ulaya - utaweza kununua ndege mbili pekee huku $65m zikisalia
    Vilevile, unaweza kununua ndege ya kibinasfi kwa Neymar mmoja itakayogharimu na baadaye kutumia fedha zilizosalia kwa matumizi ya juu ya ndege hiyo kila mwaka
    Ndege mpya aina ya F-35 ita,gharimu Neymar 0.36
    Ndege mpya aina ya F-35 ita,gharimu Neymar 0.36
    Ndege ya kijeshi ya F-35 ambayo inatumiwa sana na US Airforce itagharimu $94m, na ndege iliotoweka katika soko ya F-22 Raptor ilikuwa inauzwa kwa $150m wakati uzalishaji wake ulipositishwa

    Mshahara wa kikosi chote cha New York Yankees

    Aroldis Chapman - anapokea mashahar wa $21m
    Aroldis Chapman - anapokea mashahar wa $21m
    Nchini Marekani wachana na soka na badala yake utathmini mchezo wa Baseball . un aweza kulipa mshahara wa mwaka wa kikosi kizima cha New York yankees ka dola $155m kulingana na data ya thamnai ya kila mchezaji.Fedha zilizosalia unaweza unaweza kuwalipa wachezaji walio na majeraha, kuongeza kandarasi na kikosi kidogo itakugharimu $223m.

    Uchumi wa mataifa sita

    Iwapo unammiliki Neymar mmoja unaweza kukidhi uchumi wa moja ya mataifa sita madogo duniani .Mataifa ya Tuvalu, Montserrat, Kiribati, Visiwa vya Marshall , Nauru and Palau - vyote vina ukuwaji wa kiuchumi wa kati ya $33m hadi $258m, kulingana na data ya Umoja wa mataifa ya 2015.
    Deni la taifa moja dogo ni sawa na kiwango kidogo cha deni la Marekani
    Deni la Marekani
    Deni la Marekani
    Mshahara wa Neymar kwa mwezi mmoja unaweza kufutilia mbali deni la taifa dogo kama vile Tonga ($28.3m), Fiji ($72.4m) au Vanuatu ($82m) - ama hata Haiti ($234m).
    Mataifa hayo yana madeni madogo.
    Kwa hivyo unapotaka kutoa usaidizi kama vile kwa Marekani yenye deni kubwa Neymar mmoja anaweza kupunguza deni hilo kwa 0.001% ambalo linakaribia

    Hongera!

    Iwapo unaweza kujiwekea $1,000 kwa siku ,kila siku unaweza kumnunua Neymar baada ya miaka 718

    BONYEZA HAPA :- KUPATA PESA BURE KWA KUTUMIA SIMU YAKO JIUNGE HAPA

    Maoni

    Machapisho maarufu kutoka blogu hii

    Urusi: Vikwazo dhidi ya Korea Kaskazini havitafua dafu

    MTEULE THE BEST Image caption Waziri wa maswala ya kigeni nchini Urusi Sergei Lavrov na mwenzeka wa Marekani Rex Tillerson Waziri wa maswala ya kigeni nchini Urusi Segei Lavrov amemwambia waziri wa ulinzi nchini Marekani Rex Tillerson kwamba kuiwekea vikwazo zaidi Korea Kaskazini hakutafua dafu. Taarifa iliochapishwa na wizara ya kigeni nchini Urusi inasema kuwa wawili hao walizungumza kwa njia ya simu na kushutumu majaribio ya makombora ya hivi karibuni yaliotekelezwa na Pyongyang . Lakini inasema kuwa bwana Lavrov alisisitiza kwamba diplomasia ndio njia ya pekee ya kumaliza wasiwasi katika rasi ya Korea, na kutaka hatua zozote dhidi ya taifa hilo kusitishwa akionya huenda zikasababisha madhara yasiojulikana. Waziri wa ulinzi nchini Marekani amesisitiza kuwa bado kuna fursa ya kidiplomasia katika kukabiliana na Korea Kaskazini. Mapema rais Trump alichapisha ujumbe katika akaunti yake ya Twitter akisema mazungumzo sio suluhisho.

    *DKT. MAGUFULI, MNANGAGWA WAWEKA HISTORIA MPYA*

    Rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli Rais wa Zimbabwe, Emerson Mnangagwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli wameweka historia mpya kwa kukubaliana kushirikiana kwenye maeneo makuu matatu yenye tija pande zote. *Kwanza*, *Kuimarisha uchumi* wa nchi hizi mbili kwa kukuza uwekezaji na biashara ambao umeanza kuonesha matunda makubwa. Mathalani, katika eneo la biashara kumeonyesha mafanikio makubwa kila mwaka. Mfano mwaka 2016 biashara kati ya Tanzania na Zimbabwe ilikuwa ni Tsh. Bilioni 18.3. Mwaka 2017 biashara ilikuwa Tsh. Bilioni 21.1. *Pili*; *kushirikiana* vyema kwenye masuala ya *utalii* kwa kutumia wingi wa vivutio vya utalii kama vile mbuga za wanyama, fukwe, maeneo ya kihistoria pamoja na Mlima Kilimanjaro. *Tatu*; Kushirikiana na kuimarisha eneo la *huduma za kijamii* zikiwemo afya, utamaduni, elimu na kukuza lugha ya kiswahili ambapo Tanzania ina Waalimu wa kutosha na hivyo...

    MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

    Kuna faida kubwa kwa wapenzi kuwa marafiki KUTOKANA na mila mbalimbali, baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kwamba mwanamke ni daraja la pili. Daraja la kwanza na lenye kuthaminiwa ni mwanaume. Yaani mwanamke hana kauli kwa mwanaume. Anakuwa kama mtumwa fulani hivi.  Mwanaume akiongea, basi ni maelekezo kama vile rais wa nchi anavyotoa maelekezo kwa watu walio chini yake. Hakuna wa kupinga. Akisema sitaki kitu fulani kifanyike, basi ni mpaka atakapotoa maelekezo mengine. Vinginevyo, maelekezo ya awali yatabaki kusimama kama sheria.  Wapo baadhi ya wanawake wanaofurahia aina hii ya uhusiano kwa sababu ya mazoea. Kwamba wamekuzwa hivyo, mwanaume ni mwanaume. Huu ni mfumo ambao watu wengi wamekuwa wakiuishi. Kuna ambao wanakubaliana nao, wengine hawakubaliani nao.  Watu wengi sana wamekuwa wakiishi katika malumbano katika mahusiano yao kutokana na mfumo huu wa maisha. Mwanamke hataki kuishi kama mtumwa, mume anakomaa kuonesha uanaume wake. Hakuna anayekubali kushuka,...