Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Spika wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Job Ndugai ameongoza mamia ya wakazi wa Songea mkoani Ruvuma kwenye mazishi ya aliyekuwa mbunge wa jimbo la Songea mjini marehemu Leonidas Gama aliyefariki Novemba 23 nyumbani kwake Likuyufusi mjini Songea.
Maoni