FURAHA YA KWELI

MTEULE THE BEST

TUMSIFU YESU KRISTO WAPENDWA KATIKA BWANA!!!

MADA YA LEO: FURAHA YA KWELI

SOMO: ZABURI 1:1-6

 Heri mtu asiyefuata shauri la waovu, asiyeshiriki njia za wenye dhambi; wala kujumuika na wenye dharau;

Bali huifurahia sheria ya MWENYEZI-MUNGU, na kuitafakari mchana na usiku 

Huyo nikama mti uliopandwa kando ya vijito, unaozaa matunda kwa wakati wake,na majani yake hayanyauki  kila afanyalo hufanikiwa.

Lakini waovu sivyo walivyo wao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo.

Kwahiyo watu waovu wataanguka wakati wa hukumu wenye dhambi hawatakaa na kusanyiko la waadilifu.

Maana MWENYEZI-MUNGU huziongoza njia za waadilifu lakinni njia za waovu zitishia katika maangamizi

NENO LA BWANA!!!

 


Ndg yangu yangu mpendwa katika kristo MUNGU anakuonesha katika hili neno njia bora na sahihi nakuomba tuifuate njia ya KWELI NA UZIMA=YESU KRISTO 

AHSANTE SANA UBARIKIWE 

YESU ANAKUITA WEWE!!!!!!!

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU