IS wafanya mashambulizi Sirte, Libya

MTEULE THE BEST

 

 

Wapiganaji wa Islamic State wanaripotiwa kuendesha mashambulizi ya mabomu ya kujitoa mhanga dhidi ya vikosi vilivyo na ushirikiano na serikali mpya ya Libya katika mji wa Sirte.

Msemaji wa serikali alisema kuwa wapiganaji kadha wamejeruhiwa. Kumeripotiwa mapigano makali katika mji wa Sirte ambao uliotekwa na Islamic State mwaka mmoja uliopta.
Serikali sasa inajaribu kuwatimua wanamgambo hao ambao wanaripotiwa kuchukua ngome maeneo ya kati kati mwa mji huo.

 

Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU