MTEULE THE BEST
Katika mji wa Philadelphia nchini
Marekani wameanza kutoza kodi ya vinywaji vyenye sukari na kaboni licha
ya kuwepo kwa mamilioni ya kampeni zilizofanywa na kampuni za vinywaji
baridi kutaka kufungwa.
Meya wa demokrasia ya Philadelphia,Jim
Kenney alisema kodi hiyo itatumika kwenye maendeleo ya elimu na maeneo
ya kupumzikia. Wakili wa afya wanasema vinywaji vyenye sukari
vinasababisha watu kuongezeka uzito kupita kiasi na ugonjwa wa kisukari.
Kodi hiyo imekosolewa vikali na wananchi wenye hali ya chini
.Philadelphia ni mji wa pili baada ya mji wa Berkeley uliopo California
kufanikiwa kuanzisha kutoza kodi ya aina hii.
Maoni