NANI RAFIKI YA MUNGU

MTEULE THE BEST

 

TUMSIFU YESU KRISTO !!!

MADA YA LEO:-

    RAFIKI YA MUNGU (zaburi ya Daudi)

SOMO; ZABURI 15:1-5

Nani  ee MWENYEZI-MUNGU atakayekaa hemani mwako? 

Nani atakayeishi juu ya mlima wako mtakatifu?

 

Ni mtu aishiye bila lawama atendaye daima yaliyo mema,asemaye ukweli kutoka moyoni ; 

Ni mtu asiyesengenya watu ,asiye mtendea uovu rafiki yake wala kumfitini jirani yake

Ni mtu anayewadharau mafisadi,lakini huwaheshimu wamchao MWENYEZI-MUNGU;

Ni mtu asiyegeuza kiapo chake hata kikimtia hasara 

Asiye kopesha fedha yake kwa riba, wala kupokea rushwa 

Mtu atendaye hayo kamwe hatatikisika

 

NENO LA BWANA!!!

 

Nakushukuru kwa kuendele kusoma ubarike 

AMINA

YEYOTE ANARUHUSIWA KUCHANGIA 


Maoni

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

ZIJUWE SHERIA 17 ZA SOKA

MAPENZI: Kuna faida na ni muhimu Mpenzi wako kuwa rafiki yako pia

KUMTUMAINIA MUNGU