Shughuli ya kumuapisha Odinga imehairishwa
MTEULE THE BESTBEST
Muungano mkuu wa upinzani nchini Kenya NASA, umetangaza kuhairishwa kwa shughuli ya kumuapisha kinara mkuu wa muungano huo Raila Odinga na Stephen Kalonzo Musyoka, kama rais na makamu wa rais mtawalia wa Jamhuri ya Kenya, kwenye Shughuli ambayo ilikuwa imepangwa kuandaliwa tarehe 12 mwezi huu
Maoni